Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Sema wewe na wagogo wenzio ndio mnatamani aendelee kuwa spika,
 
Ni laana ya kutesa wapinzani
 
Basi tumpe Nchi bwanaako aiongoze dada?!
 
Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Unachobisha nini we mnafiki ....????
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.

Speaker Bora ambaye hajui ya kwamba mikopo inatakiwa kuridhiwa na Bunge ndio serikali ikope. Pia speaker Bora anayevunja katiba kwa kukumbatia wabunge wasiokuwa na chama. Speaker anayeletewa vifungu vya sheria kiujanja na serikali naye anakubali zipitishwe baadaye ndio anakuja kkugundua kwamba hizo sheria sio sahihi na kuanza kuuliza zilipitaje bungeni. Kwangu mimi Ndugai ndio worst speaker ever.
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Akawe spika huko kijijini kwenu
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Uongo
 
Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Tofautisha kujiuzulu na kutimuliwa.
 
Ndugai alifanya kosa kubwa sana kuomba msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…