Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Nini hatima ya COVID19...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wewe na wagogo wenzio ndio mnatamani aendelee kuwa spika,Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Kwamba hata dipuloma yake ya wanyama pori hawezi ipatia kazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugai hawezi kujihuzulu atafanya kazi gani?
Kujiuzulu ni jambo binafsi,halihitaki kikao!Huyo jamaa anakwama wapi?Pascal Mayalla ana mihemko, Bado hawezi kuamini kiongozi wa kundi lao amekalia kuti kavu😎
Pasco kavurugwa 😂Mkuu nakuambia kuwa kabwaga nafasi zote na kama huamini subiri uone makovu kama Tomaso
Ni laana ya kutesa wapinzaniKazi ya uspika anaitaka kufa mtu lakini atapata wapi tena nguvu? Akimsifia mama ataonekana mnafiki akipinga juhudi za serikali ataonekana kweli ana nia mbaya kwa mama., yaani hakuna namna nyengine ndugai amejiharibia mwenyewe dakika 5 alizotumia kuongea kitu ambacho hakukifanyaia tathmini ya kina impact yake
Ni kama vile ndugai haikuwa akili yake kuongea vile., ni majuto sana, kule kwetu tunasema "Amepazwa"
Sijui kwanini mnaona tabu kuzungumzia Katiba Mpya,...Na kupata solutions ni ngumu. Mpaka wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe dunia.
Basi tumpe Nchi bwanaako aiongoze dada?!Kama hii ni kweli,hii ni dalili tosha kwamba Samia kashindwa kuendesha nchi.Yajayo yanafurahisha.
Ndugai ana kasoro zake Kama binadamu,lakini kwa hili la mikopo,he was right.Kama nchi hatuwezi kutegemea mikopo,hasa ukizingatia kwamba hawa watu siku zote wana agenda za siri ovu.
Ni omba omba kama wagogo wenzakeKwamba hata dipuloma yake ya wanyama pori hawezi ipatia kazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama Godfather anaondoka wale adopted daughters 19 nani ata waangalia!Kwahiyo wakudenge wamekosa posho ya leo.
Yote hiyo imesababishwa na taarab ya mama.
Unachobisha nini we mnafiki ....????Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Hapo upo sawa. Hatuwezi kuendelea na katiba ya kurithi kutoka kwa wakoloni.Leo tuna wakoloni ambao ni watanzania wenzetu .Sijui kwanini mnaona tabu kuzungumzia Katiba Mpya,...
Suluhisho la haya yote ni Katiba mpya tuu..
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Hivi wakiomuita Magufuli dikteta walikuwa wanamaanisha nn?
Akawe spika huko kijijini kwenuNdugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
UongoNdugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
kwani wagogo wanafanya kazi gani? - OmbaombaNdugai hawezi kujihuzulu atafanya kazi gani?
Watanzania wa wapi unaowazumgumzia?Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Tofautisha kujiuzulu na kutimuliwa.Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Ndugai alifanya kosa kubwa sana kuomba msamahaLeo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.