Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Hizo taarifa za Job kujiuzulu nafasi zote za uongozi ndani ya chama, huo utakuwa ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu ambao ujumbe wa CC, anakuwa ameupoteza automatically, lakini anaendelea na ubunge wake, unless kama CCM watamuweka kikao. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
 
Hivi wakiomuita Magufuli dikteta walikuwa wanamaanisha nn?
Kwani Chief hajaitwa dikiteta? Cdm walimsema mapema tu baada ya kuona hana mwelekeo lakini wakamtetea kijinsia. Hukumbuki aliitwa Female Dic?
 
Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Mkuu nakuambia kuwa kabwaga nafasi zote na kama huamini subiri uone makovu kama Tomaso
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.

Kwa unafiki aliomfanyia Prof Assad, ninaona kama yanayomkuta yanastahili. Though siyo powa kuombeana mabaya, ila tukumbuke kuishi kwa principle ya 'mfanyie mwenzio vile ambavyo ungependa kufanyiwa'
 
Back
Top Bottom