babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuone Bungeni wa nini tena? alizuia Bunge live ili aEdit majadiliano keshajiwekea Kinga na kuwa mbabeNdugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Nasubiria hilo sinema jipyaKama Godfather anaondoka wale adopted daughters 19 nani ata waangalia!
Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Kongwa wala Dodoma hana shamba labda udereva kwenye mabasi yake na Kodi za pango zitamtosha acha tile naye vumbiKazi zipo nyingi duniani anaweza kuamua kuwa bwana shamba
Ndugai hawezi jiuzulu. Bunge ni mhimili unaojitegemea 🙄.Hivi Bunge na Mahakama vipo huru kweli ?Dictator Nyerere kweli alituachia majanga. Na kupata solutions ni ngumu. Mpaka wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe dunia.
Hiki ni kipindi gani hasa kinachomhitaji Ndugai?Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Ubora gani mpuuzi tu huyo.
Naamini wapo wana CCM Bora tu wanaoweka kukalia kiti hicho Cha uspika zaidi ya Hilo litakataka
Swali zuri sana. Itakuwa vyema kama atajibu swali hili kwenye mkutano wake na waandishi wa habari.Hivi huyu jamaa tokea awe mbunge kuna kitu gani wananchi wa jimbo la Kawe wamenufaika nalo?
Bodaboda nayo ni kazi, au?? Kila siku wanahimiza tujiajiri..ajiajiriNdugai hawezi kujihuzulu atafanya kazi gani?
Hii ndio atake asitake!yamebakia masaa machache tu, mama hawezi kufanya kazi na kikundi Cha wahaini na wapinga maendeleo, Tanzania ni Nchi ya amani, Jobo na kundi lake wanataka Madaraka kwa njia haramu ya kuchonganisha serikali na wananchi. Must Go,iwe kwa hiari or not
Bill of rights na multi-partism sio kwa hiari yake bali mbinyo na shinikizo kutoka kwa mabeberu. Jifunze zaidi utagundua hilo maana Nyerere hakuwahi kuwa muumini wa haki za binadamu wala vyama vingi isipokuwa kwa shinikizo kubwa kutoka mataifa makubwa.Naomba uwe fair kidogo, mwalimu Nyerere kaondoka madarakani mwaka 1985, na Kufariki mwaka 1999. Kwanini nyie msilete mabadiriko mnayotaka mmebaki kumlaumu mtu aliyekwisha kuondoka kana kwamba bado anaiongoza Tanznania. Mwalimu alishakiri kuwa Kuna makosa alifanya na kuomba Yale mabaya tuyaache na Yale mazuri tuyachukue. Sasa wewe uendelee alipoishia na sio kubaki kulaumu na kusubiria watu wafe.
Naona una chuki binafsi na Nyerere. Kumbuka mwalimu Nyerere kabla hajastaafu, mwaka 1984 alifanya mabadiliko makubwa kwenye katiba Kama kuruhusu haki za binadamu au bill of rights kwenye katiba dikteta gani angekubali haki za binadamu ziwemo kwenye katiba na pia baadae kukubaliana na wachache kuruhusu vyama vingi nchini Kama angekataa Leo tungekuwa bado kwenye mfumo wa chama kimoja.
Kienyeji ndio nini acha utumwa kwa hiyo ccm wanafanya mambo kizunguHizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Mtu amelazwa hospitali wewe unasema amejiuzulu!Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Msengerema mmoja, aliyefanikiwa kukutwa na mrembo guest. Hana influence nchi hii labda kwa yale makondoo ya kwenye lake la mabati. Wajumbe walimuadabisha.
Kweli kila shetwani na mbuyu wake kwa wale tulipitia mabunge ya Akina Sapi Mkwawa, Pius Msekwa, Samwel Sita na Ana Makinda tunapata wasiwasi wa kumwita Jobo spika boraNdugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Nadhani ni wewe labda na familia yako. Hebu jitahidi kuongeza umakini japo kidogo ndugu.pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.