Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Tumuone Bungeni wa nini tena? alizuia Bunge live ili aEdit majadiliano keshajiwekea Kinga na kuwa mbabe
Muombe aondoke tu km Lowassa
 
Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P

Hivi kwa yanayoendelea ndani ya chama huoni nyie ni wa hovyo kuliko sisi wenzenu
 
Ndugai hawezi jiuzulu. Bunge ni mhimili unaojitegemea 🙄.Hivi Bunge na Mahakama vipo huru kweli ?Dictator Nyerere kweli alituachia majanga. Na kupata solutions ni ngumu. Mpaka wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe dunia.

Naomba uwe fair kidogo, mwalimu Nyerere kaondoka madarakani mwaka 1985, na Kufariki mwaka 1999. Kwanini nyie msilete mabadiriko mnayotaka mmebaki kumlaumu mtu aliyekwisha kuondoka kana kwamba bado anaiongoza Tanznania. Mwalimu alishakiri kuwa Kuna makosa alifanya na kuomba Yale mabaya tuyaache na Yale mazuri tuyachukue. Sasa wewe uendelee alipoishia na sio kubaki kulaumu na kusubiria watu wafe.

Naona una chuki binafsi na Nyerere. Kumbuka mwalimu Nyerere kabla hajastaafu, mwaka 1984 alifanya mabadiliko makubwa kwenye katiba Kama kuruhusu haki za binadamu au bill of rights kwenye katiba dikteta gani angekubali haki za binadamu ziwemo kwenye katiba na pia baadae kukubaliana na wachache kuruhusu vyama vingi nchini Kama angekataa Leo tungekuwa bado kwenye mfumo wa chama kimoja.
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Hiki ni kipindi gani hasa kinachomhitaji Ndugai?
Kama issue ni speaker, anybody qualified can be a speaker and not only somebody "Ndugai"
 
Ubora gani mpuuzi tu huyo.
Naamini wapo wana CCM Bora tu wanaoweka kukalia kiti hicho Cha uspika zaidi ya Hilo litakataka

Watampa huyo mama wa mbeya mjini ila kile kiti kinahitaji zaidi hekima na busara kuliko elimu,vitu ambavyo ndugai na tulia hawana
 
Wapinzani hayatuhusu ,lao hilo wanyonyoane mpaka waote ukurutu,spika wabunge wote hawana uhalali wa kuwepo bungeni,Yule Bundi nasikia karudi bungeni
 
yamebakia masaa machache tu, mama hawezi kufanya kazi na kikundi Cha wahaini na wapinga maendeleo, Tanzania ni Nchi ya amani, Jobo na kundi lake wanataka Madaraka kwa njia haramu ya kuchonganisha serikali na wananchi. Must Go,iwe kwa hiari or not
Hii ndio atake asitake!
 
Naomba uwe fair kidogo, mwalimu Nyerere kaondoka madarakani mwaka 1985, na Kufariki mwaka 1999. Kwanini nyie msilete mabadiriko mnayotaka mmebaki kumlaumu mtu aliyekwisha kuondoka kana kwamba bado anaiongoza Tanznania. Mwalimu alishakiri kuwa Kuna makosa alifanya na kuomba Yale mabaya tuyaache na Yale mazuri tuyachukue. Sasa wewe uendelee alipoishia na sio kubaki kulaumu na kusubiria watu wafe.

Naona una chuki binafsi na Nyerere. Kumbuka mwalimu Nyerere kabla hajastaafu, mwaka 1984 alifanya mabadiliko makubwa kwenye katiba Kama kuruhusu haki za binadamu au bill of rights kwenye katiba dikteta gani angekubali haki za binadamu ziwemo kwenye katiba na pia baadae kukubaliana na wachache kuruhusu vyama vingi nchini Kama angekataa Leo tungekuwa bado kwenye mfumo wa chama kimoja.
Bill of rights na multi-partism sio kwa hiari yake bali mbinyo na shinikizo kutoka kwa mabeberu. Jifunze zaidi utagundua hilo maana Nyerere hakuwahi kuwa muumini wa haki za binadamu wala vyama vingi isipokuwa kwa shinikizo kubwa kutoka mataifa makubwa.
 
Hizo taarifa za kujiuzulu nafasi zote ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu, ubunge na ujumbe wa CC unaendelwa hadi kuitishwe kikao cha chama kumjadili. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Kienyeji ndio nini acha utumwa kwa hiyo ccm wanafanya mambo kizungu

P unajua kadri unavyozeeka ndio unakosa busara na akili au hicho kisukari kimemaliza ubongo wako
 
Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.

Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Mtu amelazwa hospitali wewe unasema amejiuzulu!
 
Msengerema mmoja, aliyefanikiwa kukutwa na mrembo guest. Hana influence nchi hii labda kwa yale makondoo ya kwenye lake la mabati. Wajumbe walimuadabisha.
Mchumia tumbo, fisi aliyejivika vazi la kondoo. Mathayo 7:15,

Everyday is Saturday.......................................😎
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho.
Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Kweli kila shetwani na mbuyu wake kwa wale tulipitia mabunge ya Akina Sapi Mkwawa, Pius Msekwa, Samwel Sita na Ana Makinda tunapata wasiwasi wa kumwita Jobo spika bora
 
Back
Top Bottom