Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 478
- 1,025
Kubadili katiba ya chama tawala CCM siyo zoezi dogo. Ni zoezi lenye kuhitaji ushirikishwaji wa Wana CCM ngazi zote tena kwa kikao cha ana kwa ana. CCM kuandaa kikao hichi kwa njia ya mtandao ni hadaa na lengo ni kunyima fursa sawa ya ushirikishwaji katika kutoa maamuzi hivyo watu wachache kuamua mwelekeo wa kikao kwa maslahi binafsi.
Wote tunaijua vizuri changamoto za upatikanaji wa mtandao tunazokumbana nazo maeneo mengi ya nchi kwaiyo kusema kikao kitafanyika kimtandao nchi nzima iyo ni hila ya wazi na wenye akili wanaona wazi kwaiyo zetu popcorn tukitazama kama Wana CCM watakubali na kishiriki nchi nzima kwa mtandao. Kesho siyo mbali.