GE2025 Kikao cha kubadili Katiba ya CCM kufanyika kwa mtandao ni dhihaka kwa CCM. Sidhani kama wana CCM mikoani watakubaliana nalo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kubadili katiba ya chama tawala CCM siyo zoezi dogo. Ni zoezi lenye kuhitaji ushirikishwaji wa Wana CCM ngazi zote tena kwa kikao cha ana kwa ana. CCM kuandaa kikao hichi kwa njia ya mtandao ni hadaa na lengo ni kunyima fursa sawa ya ushirikishwaji katika kutoa maamuzi hivyo watu wachache kuamua mwelekeo wa kikao kwa maslahi binafsi.

Wote tunaijua vizuri changamoto za upatikanaji wa mtandao tunazokumbana nazo maeneo mengi ya nchi kwaiyo kusema kikao kitafanyika kimtandao nchi nzima iyo ni hila ya wazi na wenye akili wanaona wazi kwaiyo zetu popcorn tukitazama kama Wana CCM watakubali na kishiriki nchi nzima kwa mtandao. Kesho siyo mbali.
Umejaza ujinga sana kichwani.Modes za mawasiliano zimeendelea sio lazima kukusanyana hapo Dom.

Stuka saizi hata usaili unafanyika mitandaoni
 
Embracing digital solutions
 
Wamechaganyikiwa. Wanataka katiba iruhusu wizi.
 
We ni poyoyo usiyeelewa lolote, CCM ni dude kubwa imara usitegemee lolote km unavyotaka kufikiri.
Madudu makubwa ndiyo ambayo hufa kifo cha kijinga na kipumbavu kabisa...

👉Unamkumbuka John P. Magufuli? Alikufanye pamoja na kuwa "dude kubwa...?"

👉Unamkumbuka kumbukumbu ya story ya Goliath? Lilikuwa dude kubwa kwelikweli. Lakini unajua alikufaje..?

👉Unaijua kumbukumbu ya historia ya Mfalme Farao (wa Misri ya kale) na Nebukadneza (wa Babeli ya kale leo ikiitwa Iraki?). Unajua kuwa walikuwa madude makubwa kwelikweli? Unajua wako wapi? Unajua walikufaje...?

Haka ka - CCM kana nini? Hili ni dude kubwa kweli..?
 
Kubadili katiba ya chama tawala CCM siyo zoezi dogo. Ni zoezi lenye kuhitaji ushirikishwaji wa Wana CCM ngazi zote tena kwa kikao cha ana kwa ana. CCM kuandaa kikao hichi kwa njia ya mtandao ni hadaa na lengo ni kunyima fursa sawa ya ushirikishwaji katika kutoa maamuzi hivyo watu wachache kuamua mwelekeo wa kikao kwa maslahi binafsi.

Wote tunaijua vizuri changamoto za upatikanaji wa mtandao tunazokumbana nazo maeneo mengi ya nchi kwaiyo kusema kikao kitafanyika kimtandao nchi nzima iyo ni hila ya wazi na wenye akili wanaona wazi kwaiyo zetu popcorn tukitazama kama Wana CCM watakubali na kishiriki nchi nzima kwa mtandao. Kesho siyo mbali.
Wakitulipa kama walivyotulipa zaidi ya milioni tatu kwenye mkutano wa kumpitisha mgombea urais,kwa Nini tusikubali
 
Kubadili katiba ya chama tawala CCM siyo zoezi dogo. Ni zoezi lenye kuhitaji ushirikishwaji wa Wana CCM ngazi zote tena kwa kikao cha ana kwa ana. CCM kuandaa kikao hichi kwa njia ya mtandao ni hadaa na lengo ni kunyima fursa sawa ya ushirikishwaji katika kutoa maamuzi hivyo watu wachache kuamua mwelekeo wa kikao kwa maslahi binafsi.

Wote tunaijua vizuri changamoto za upatikanaji wa mtandao tunazokumbana nazo maeneo mengi ya nchi kwaiyo kusema kikao kitafanyika kimtandao nchi nzima iyo ni hila ya wazi na wenye akili wanaona wazi kwaiyo zetu popcorn tukitazama kama Wana CCM watakubali na kishiriki nchi nzima kwa mtandao. Kesho siyo mbali.
Huu ni ushahidi kuwa katiba mpya inawezekana bila kukaa kikao cha bunge,ni suala la kutumia jamii forums tukapiga kura tukamaliza mchezo.
 
Katibacya muungano ibadilishwe pamoja na ya ccm wakibadili moja badi itaonyesha kumbe kweli kunataizo kwanini hii iwe ghafula na isiwe kabla hawajapitisha wagombea ugonvi utazidi Mungu tussidie
 
Si juzi tu watu wamechukua form chama kimeingiza zaido ya 3billion
 
Umejaza ujinga sana kichwani.Modes za mawasiliano zimeendelea sio lazima kukusanyana hapo Dom.

Stuka saizi hata usaili unafanyika mitandaoni
Acha kuongea kama mlevi...Yani Leo ndo CCM waite mkutano kupitia mtandao tena kwa ajenda inayohitaji ushiriki wa asilimia 100 wa wanachama, unaona kama unaongea na viazi wenzako e?
 
Kubadili katiba ya chama tawala CCM siyo zoezi dogo. Ni zoezi lenye kuhitaji ushirikishwaji wa Wana CCM ngazi zote tena kwa kikao cha ana kwa ana. CCM kuandaa kikao hichi kwa njia ya mtandao ni hadaa na lengo ni kunyima fursa sawa ya ushirikishwaji katika kutoa maamuzi hivyo watu wachache kuamua mwelekeo wa kikao kwa maslahi binafsi.

Wote tunaijua vizuri changamoto za upatikanaji wa mtandao tunazokumbana nazo maeneo mengi ya nchi kwaiyo kusema kikao kitafanyika kimtandao nchi nzima iyo ni hila ya wazi na wenye akili wanaona wazi kwaiyo zetu popcorn tukitazama kama Wana CCM watakubali na kishiriki nchi nzima kwa mtandao. Kesho siyo mbali.
Kuna aliyeulizwa kama aogopi
 
Nimeamini vyama vingi ni magenge ya watu, Yaani mpaka ccm imetekwa na wahuni
 
Acha kuongea kama mlevi...Yani Leo ndo CCM waite mkutano kupitia mtandao tena kwa ajenda inayohitaji ushiriki wa asilimia 100 wa wanachama, unaona kama unaongea na viazi wenzako e?
Ulitaka Waite lini? Wewe ndio mjinga
 
Back
Top Bottom