GE2025 Kikao cha kubadili Katiba ya CCM kufanyika kwa mtandao ni dhihaka kwa CCM. Sidhani kama wana CCM mikoani watakubaliana nalo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ngoja tuone kama mtandao utaweza kukuonect au mpaka VPN
Kama the state waliobagazwa na mwenyeiiti watakubali mwenyekiti aendelee ku shine dhidi yao sawa!!

Au

Wafanye hacking ya kikao wamtafute mwenyekiti mwingine alievaa mask yenye sura ya mwenyekiti na kupitisha like ambacho mwenyekiti halisi hapendi kusikia!

Mfano kurudiwa Kwa mchakati was mtia Nia wa urais ndani ya chama halafu na yeye mwenyekiti atangaze kwamba amejuzulu nafasi ya uenyekiti wa chama na utia nia wa urais October!!

Kama watatafuta kinyago kivae mask ya mwenyekiti Ili ku spin mabadiliko kupitia mwenyekiti fake Kwa faida ya jamuhuri !!

Nawaza tu wakuu!!
 
Duh...kumbe haya mambo yapo serious hivi?...nlikuwa nadhan huku watu wanabwabwaja tu ila huko ndan kuna fukuto kubwa hadi kufikiq maamuzi haya
 
Utofauti wao wamefanya mtandaoni kushoto hawakushirikishwa kabisa walibadili kakifungu kimya kimya.
 
Kubadili katiba ya chama tawala CCM siyo zoezi dogo. Ni zoezi lenye kuhitaji ushirikishwaji wa Wana CCM ngazi zote tena kwa kikao cha ana kwa ana. CCM kuandaa kikao hichi kwa njia ya mtandao ni hadaa na lengo ni kunyima fursa sawa ya ushirikishwaji katika kutoa maamuzi hivyo watu wachache kuamua mwelekeo wa kikao kwa maslahi binafsi.

Wote tunaijua vizuri changamoto za upatikanaji wa mtandao tunazokumbana nazo maeneo mengi ya nchi kwaiyo kusema kikao kitafanyika kimtandao nchi nzima iyo ni hila ya wazi na wenye akili wanaona wazi kwaiyo zetu popcorn tukitazama kama Wana CCM watakubali na kishiriki nchi nzima kwa mtandao. Kesho siyo mbali.
Inatakiwa wajumbe wagome kushiriki
 
IMG-20250725-WA0107.jpg
 
Kama the state waliobagazwa na mwenyeiiti watakubali mwenyekiti aendelee ku shine dhidi yao sawa!!

Au

Wafanye hacking ya kikao wamtafute mwenyekiti mwingine alievaa mask yenye sura ya mwenyekiti na kupitisha like ambacho mwenyekiti halisi hapendi kusikia!

Mfano kurudiwa Kwa mchakati was mtia Nia wa urais ndani ya chama halafu na yeye mwenyekiti atangaze kwamba amejuzulu nafasi ya uenyekiti wa chama na utia nia wa urais October!!

Kama watatafuta kinyago kivae mask ya mwenyekiti Ili ku spin mabadiliko kupitia mwenyekiti fake Kwa faida ya jamuhuri !!

Nawaza tu wakuu!!
nadhan upunguze kuangalia movie mkuu. hasa g.i joe
 
Kubadili katiba ya chama tawala CCM siyo zoezi dogo. Ni zoezi lenye kuhitaji ushirikishwaji wa Wana CCM ngazi zote tena kwa kikao cha ana kwa ana. CCM kuandaa kikao hichi kwa njia ya mtandao ni hadaa na lengo ni kunyima fursa sawa ya ushirikishwaji katika kutoa maamuzi hivyo watu wachache kuamua mwelekeo wa kikao kwa maslahi binafsi.

Wote tunaijua vizuri changamoto za upatikanaji wa mtandao tunazokumbana nazo maeneo mengi ya nchi kwaiyo kusema kikao kitafanyika kimtandao nchi nzima iyo ni hila ya wazi na wenye akili wanaona wazi kwaiyo zetu popcorn tukitazama kama Wana CCM watakubali na kishiriki nchi nzima kwa mtandao. Kesho siyo mbali.
".....Yeye achimbaye shimo
aweza kutumbukia ndani yake,
yeyote abomoaye ukuta

anaweza kuumwa na nyoka..."

Watakuja na kila plan kujaribu kuhalalisha haramu ya huyu mama, lakini kwa kila wanachokuja nacho ndilo shimo la kuwaingiza ndani zaidi...

Wameonywa mara nyingi kuwa Mungu keshamkataa huyu mama, lakini wanaendelea kubishana na Mungu Yehova...

Sasa they are going to learn and accept the reality in a very hard and painful way...!
 
We mshamba bado bado sanaa, CCM ni chama tajiri na ya kisomi inatumia teknolojia kuokoa rasilimali muda na pesa hasa muda, hayo mengine ni mawazo yenu chakavu
 
We ni poyoyo usiyeelewa lolote, CCM ni dude kubwa imara usitegemee lolote km unavyotaka kufikiri.
 
We mshamba bado bado sanaa, CCM ni chama tajiri na ya kisomi inatumia teknolojia kuokoa rasilimali muda na pesa hasa muda, hayo mengine ni mawazo yenu chakavu
Ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia au ukiwa unaitetea CCM lazima kiwango cha akili kiwe kidogo namna hiyo? Wewe huwezi kupima ukubwa wa mchakato, timing na utaratibu wa kurekebisha kipengele cha katiba unavotakiwa kuwa?
 
Back
Top Bottom