Kikao cha mwisho tulikubaliana kuwa tutauza umeme nje, kulikoni sisi ndo tunanunua tena?

Wame mislead Bi Mkubwa hizi Hotuba Kachomekewa tu kwa kweli, Lakini swala Nyeti kama Nishati Kwanini asiwe aware kiasi Icho?

Ufafanuzi wa Msigwa ndio umekuja Kuharibu kabisa
Ikipita namna hiyo, Ina maana utaona kila nchi zikianza kutuuzia umeme sasa baada ya kukamilisha bwawa
 
Na ni marufuku kuhoji legacy za wastaafu. Marufuku kumsema vibaya hadharani Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia akistaafu.

Kwa hiyo legacy zao ziko salama. Hawatabezwa for 200 years.

Mtu ambaye atasifiwa milele kama Mungu hawezi kujali legacy yake. Wanatawala kama kaya ya baba na mama na watoto. Hawajali lolote. Nani huwa anajadili legacy ya baba yake ? Hata kama alikuwa mlevi na kahaba aliyezaa zaa pembeni.
 
Ccm wameleft group kama wafanyavyo wanaume wa dar
 
Kwani hii ni ajabu sasa???kila mtu anapiga anapowezaaa.
 
Daah
 
Hakuna anaeuza bila kununua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…