Tetesi: Kikao cha siri cha CCM juu ya Jimbo la Singida Kaskazini

king Davidson

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
252
Reaction score
1,063
Taarifa zilizo nifikia muda huu kutoka chanzo cha kuaminika na mjumbe wa kikao inasema hivi:

Mpaka sasa kikao cha siri kinaendelea katika ukumbi wa juu wa KBH Hotel, agenda ni kumbebembeleza Kitila agombee ubunge Singida Kaskazini.

Pia Daftrari la wapiga kura lipo Tayari mezani kuongeza idadi ya wapiga kura na wanachama wa chama cha mapinduzi 4500 majina yao yapo kwenye kikao kuwekwa kuongeza nguvu.

Source: Informer Wetu
 
Kupiga kura kwenye masanduku bila katiba mpya, akishinda wa upinzani msimamizi atasubiri malekezo kutoka ngazi juu, baada ya dakika tano mnaletewa polisi walioja mabomu na kufurushwa atatangazwa wa sizonje kivyovyote vile, ndio maana watu hawana ishu tena na kitu kinachoitwa uchaguzi!
 
CCM bhana unaanzanje kumbembeleza uyo jamaa
 
Waambiwe wasihangaike hakuna anayeweza kishiriki huo upuuzi wa uchaguzi. Wamtangaze tu maana tumewapuuza.
Kukata tamaa kwa kiwango hiki kwa wafuasi wa upinzani kunaonesha ni namna gani tunatakiwa turudi mfumo wa chama kimoja maana hakuna maana ya kusapoti watu ambao hawtashinda chaguzi au tuchague kuwa upinzani kwa ajili kuwa kioo cha serikali kuwa kazi ni moja tu kukosoa halafu serikali irekebishe basi.
 
Taarifa zilizo nifikia muda huu kutoka chanzo cha kuaminika na mjumbe wa kikao inasema hivi:

Mpaka sasa kikao cha siri kinaendelea katika ukumbi wa juu wa KBH Hotel, agenda ni kumbebembeleza Kitila agombee ubunge Singida Kaskazini.

Pia Daftrari la wapiga kura lipo Tayari mezani kuongeza idadi ya wapiga kura na wanachama wa chama cha mapinduzi 4500 majina yao yapo kwenye kikao kuwekwa kuongeza nguvu.

Source: Informer Wetu
Taarifa kutoka ufipani kweli huwa na ueledi kama hivi.
 
Muda si mrefu utatuzilia mkeo, nasi tutampa mambo

Mpaka nizire? Mimi wako nampa mambo hata sasa hv ukiwa naye. Ukitaka kuamini muulize aliyembikiri. Tena sio mbele tu, hata lile tundu maarufu pale nyuma.
 
Taarifa zilizo nifikia muda huu kutoka chanzo cha kuaminika na mjumbe wa kikao inasema hivi:

Mpaka sasa kikao cha siri kinaendelea katika ukumbi wa juu wa KBH Hotel, agenda ni kumbebembeleza Kitila agombee ubunge Singida Kaskazini.

Pia Daftrari la wapiga kura lipo Tayari mezani kuongeza idadi ya wapiga kura na wanachama wa chama cha mapinduzi 4500 majina yao yapo kwenye kikao kuwekwa kuongeza nguvu.

Source: Informer Wetu
Habari ya leo ni Sherehe za UHURU na Babu Seya na familia yake.
Huu udaku ungeleta Jumatatu ...maana hata kesho ni siku ya mapumziko na Ibada utawachosha wadau wapenda utulivu na Maendeleo ya Taifa letu Tanzania.
 
Kukata tamaa kwa kiwango hiki kwa wafuasi wa upinzani kunaonesha ni namna gani tunatakiwa turudi mfumo wa chama kimoja maana hakuna maana ya kusapoti watu ambao hawtashinda chaguzi au tuchague kuwa upinzani kwa ajili kuwa kioo cha serikali kuwa kazi ni moja tu kukosoa halafu serikali irekebishe basi.

Kuna tofauti ya kukata tamaa na kupuuza. Tungekata tamaa iwapo kuna ushindani kisha tunashindwa. Lakini tunapata ushindi kisha mnatangazwa nyie huku wafuasi wetu wakiwa wameachwa na vilema na wengine vifo hapo ni upuuzi tu. Tuna njia nyingine ya kuweza kupambana na tunaimudu lakini hata haya maendeleo duni tutayapoteza kwa kuwa si salama sana, na kwakuwa maisha yetu hayategemei siasa ni bora tuwapuuze nyie mnaotegemea siasa muendelee na huo upuuzi.
 
Taarifa zilizo nifikia muda huu kutoka chanzo cha kuaminika na mjumbe wa kikao inasema hivi:

Mpaka sasa kikao cha siri kinaendelea katika ukumbi wa juu wa KBH Hotel, agenda ni kumbebembeleza Kitila agombee ubunge Singida Kaskazini.

Pia Daftrari la wapiga kura lipo Tayari mezani kuongeza idadi ya wapiga kura na wanachama wa chama cha mapinduzi 4500 majina yao yapo kwenye kikao kuwekwa kuongeza nguvu.

Source: Informer Wetu
Haya yote yana Mwisho Mungu Hapendi
 
Back
Top Bottom