king Davidson
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 252
- 1,063
Taarifa zilizo nifikia muda huu kutoka chanzo cha kuaminika na mjumbe wa kikao inasema hivi:
Mpaka sasa kikao cha siri kinaendelea katika ukumbi wa juu wa KBH Hotel, agenda ni kumbebembeleza Kitila agombee ubunge Singida Kaskazini.
Pia Daftrari la wapiga kura lipo Tayari mezani kuongeza idadi ya wapiga kura na wanachama wa chama cha mapinduzi 4500 majina yao yapo kwenye kikao kuwekwa kuongeza nguvu.
Source: Informer Wetu