king Davidson
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 252
- 1,063
Kunapaswa kuwa na taifa lenye kufata hakiWaambiwe wasihangaike hakuna anayeweza kishiriki huo upuuzi wa uchaguzi. Wamtangaze tu maana tumewapuuza.
Kabisa mkuu !Hiki sio chama cha siasa!!
Muda si mrefu utatuzilia mkeo, nasi tutampa mamboWaambiwe wasihangaike hakuna anayeweza kishiriki huo upuuzi wa uchaguzi. Wamtangaze tu maana tumewapuuza.
Kukata tamaa kwa kiwango hiki kwa wafuasi wa upinzani kunaonesha ni namna gani tunatakiwa turudi mfumo wa chama kimoja maana hakuna maana ya kusapoti watu ambao hawtashinda chaguzi au tuchague kuwa upinzani kwa ajili kuwa kioo cha serikali kuwa kazi ni moja tu kukosoa halafu serikali irekebishe basi.Waambiwe wasihangaike hakuna anayeweza kishiriki huo upuuzi wa uchaguzi. Wamtangaze tu maana tumewapuuza.
Taarifa kutoka ufipani kweli huwa na ueledi kama hivi.Taarifa zilizo nifikia muda huu kutoka chanzo cha kuaminika na mjumbe wa kikao inasema hivi:
Mpaka sasa kikao cha siri kinaendelea katika ukumbi wa juu wa KBH Hotel, agenda ni kumbebembeleza Kitila agombee ubunge Singida Kaskazini.
Pia Daftrari la wapiga kura lipo Tayari mezani kuongeza idadi ya wapiga kura na wanachama wa chama cha mapinduzi 4500 majina yao yapo kwenye kikao kuwekwa kuongeza nguvu.
Source: Informer Wetu
Muda si mrefu utatuzilia mkeo, nasi tutampa mambo
Habari ya leo ni Sherehe za UHURU na Babu Seya na familia yake.Taarifa zilizo nifikia muda huu kutoka chanzo cha kuaminika na mjumbe wa kikao inasema hivi:
Mpaka sasa kikao cha siri kinaendelea katika ukumbi wa juu wa KBH Hotel, agenda ni kumbebembeleza Kitila agombee ubunge Singida Kaskazini.
Pia Daftrari la wapiga kura lipo Tayari mezani kuongeza idadi ya wapiga kura na wanachama wa chama cha mapinduzi 4500 majina yao yapo kwenye kikao kuwekwa kuongeza nguvu.
Source: Informer Wetu
Kukata tamaa kwa kiwango hiki kwa wafuasi wa upinzani kunaonesha ni namna gani tunatakiwa turudi mfumo wa chama kimoja maana hakuna maana ya kusapoti watu ambao hawtashinda chaguzi au tuchague kuwa upinzani kwa ajili kuwa kioo cha serikali kuwa kazi ni moja tu kukosoa halafu serikali irekebishe basi.
Haya yote yana Mwisho Mungu HapendiTaarifa zilizo nifikia muda huu kutoka chanzo cha kuaminika na mjumbe wa kikao inasema hivi: