Kwanini utapeliwe kiboya hivyo? Kwamba umeshindwa hata kwenda kumuangalia huyo mtoto ili ujiridhishe?Unaishi mkoani Mara. Mwanamke mmoja ambaye mliwahi kuwa na uhusiano wa muda anakutafuta na anadai kuwa una mtoto naye. Amekuwa akikukamua pesa kila mwezi kwa madai ya matunzo ya mtoto. Huku ukiamini wewe ni baba halali, umekuwa ukitoa msaada kimya kimya.
Lakini, kwa kutaka kuthibitisha ukweli, unaamua kufanya upelelezi binafsi. Unatembelea shule anayosoma huyo mtoto na kugundua kuwa jina la baba katika cheti cha kuzaliwa si lako. Sasa unajiuliza: Je, kweli huyu ni mtoto wangu? Au natapeliwa?
👉 Ungechukua hatua gani ili kujinasua kwenye hali kama hii?
- Kumshtaki kwa udanganyifu?
- Kuomba vipimo vya DNA kabla ya kuendelea kutoa pesa?
- Kukaa kimya na kuendelea kusaidia tu kwa sababu ya mtoto?
- Kuwashirikisha wazazi wa pande zote kupata suluhu?
Tupia maoni yako, huenda ukamsaidia mtu mwingine anayepitia hali kama hii. 🧠📢
Hili ndo jibu sahihiKuomba vipimo vya DNA kabla ya kuendelea kutoa pesa?
🧬 DNA ndo ita confirm either ni goli lako au la mtu mwingine, na chamsingi kabisa hapo inavyoonekana kwenye hiyo situation jamaa aliingia kichwa kichwa, kipindi hichi kubambikiziwa damu isiyo yako ni jambo la kawaida wapo watu wengi tena kwenye ndoa zao wanalea watoto ambao siyo damu zao, Cha msingi ni kutafuta pesa ya DNA test ili ujue umepata au umepatikanaLakini si wanasema vipimo hata ungefanyaje utaambiwa ni wako japo jina sio lako
wadau wanadai kwamba DNA labda ukapimie Kenya ndo itakuwa halisi ukipimia hapa nasikia lab tests zinakuja tu positive ni wako!! sijui kuna ukweli kiasi gani!🧬 DNA ndo ita confirm either ni goli lako au la mtu mwingine, na chamsingi kabisa hapo inavyoonekana kwenye hiyo situation jamaa aliingia kichwa kichwa, kipindi hichi kubambikiziwa damu isiyo yako ni jambo la kawaida wapo watu wengi tena kwenye ndoa zao wanalea watoto ambao siyo damu zao, Cha msingi ni kutafuta pesa ya DNA test ili ujue umepata au umepatikana
Huu ujinga mnajifunzia wapi?Unaishi mkoani Mara. Mwanamke mmoja ambaye mliwahi kuwa na uhusiano wa muda anakutafuta na anadai kuwa una mtoto naye. Amekuwa akikukamua pesa kila mwezi kwa madai ya matunzo ya mtoto. Huku ukiamini wewe ni baba halali, umekuwa ukitoa msaada kimya kimya.
Lakini, kwa kutaka kuthibitisha ukweli, unaamua kufanya upelelezi binafsi. Unatembelea shule anayosoma huyo mtoto na kugundua kuwa jina la baba katika cheti cha kuzaliwa si lako. Sasa unajiuliza: Je, kweli huyu ni mtoto wangu? Au natapeliwa?
👉 Ungechukua hatua gani ili kujinasua kwenye hali kama hii?
- Kumshtaki kwa udanganyifu?
- Kuomba vipimo vya DNA kabla ya kuendelea kutoa pesa?
- Kukaa kimya na kuendelea kusaidia tu kwa sababu ya mtoto?
- Kuwashirikisha wazazi wa pande zote kupata suluhu?
Tupia maoni yako, huenda ukamsaidia mtu mwingine anayepitia hali kama hii. 🧠📢
Hamna, wengi tu nawafahamu walienda kupima DNA wakakuta watoto waliokuwa wanawalea sio waowadau wanadai kwamba DNA labda ukapimie Kenya ndo itakuwa halisi ukipimia hapa nasikia lab tests zinakuja tu positive ni wako!! sijui kuna ukweli kiasi gani!