Kikao cha wanaume tu: Ungefanyaje kwenye hali kama hii?

Baba yako kwa kigezo cha kutuzidi nayeye pia ni kuvwa la majibwa πŸ˜‚|

By the way tunashukuru kwa ushauri mzuri japokuwa umeingilia vikao vya watu.
 
Weka kikao na huyo mama tapeli, akueleze Kwa nini ameandika jina la mtoto ambalo si lako
 
Baba wa mtoto ni yule mwenye kuandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa cha mtoto. Huyo ndo mama mtoto anaamini kuwa ndo aliyemtia mimba.
 
Baba yako kwa kigezo cha kutuzidi nayeye pia ni kuvwa la majibwa πŸ˜‚|

By the way tunashukuru kwa ushauri mzuri japokuwa umeingilia vikao vya watu.
Baba yangu anaitwa Tiger jina lake la kimbwa 😹😹

Mambwa mnapeana nondo wenyewe.!! 🀣
 
Pole chief, ndio maisha hayo.
 
Pima DNA, tena kisheria ili mkiachana iwe halali kabisa.
 
Unaacha kutoa matumizi kwa kudai kuwa huna pesa.Na unamsahau moja kwa moja
 
2
 
Best solution ni kupotezea tu, hamna haja ya kulumbana kuendelea kudai wala hakuna haja ya kwenda kupima DNA kwa sababu mwanamke anamjua Baba halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…