Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

Kwani mkuu ukilala na wanawake wengine wasio wake za watu, nao si huwa wana watu wao pia?

Kama ni suala la usafi basi watu waache kubinjuana iwe kwa wake za watu au wanawake wengine...
Unakuta mtu anaona kinyaa kalala na mke wa mtu lakini anaona sawa kulala na malaya anae mnunua. Leo huyu kesho yule.
KItaalam inaitwaje?
 
Hebu fikilia ukimfumania mke wako, ukamuacha.
Matokeo yake watoto wako wataishi kwa shida bila ya malezi ya wazazi wote wawili.
Harafu unakuja kufikilia kuwa watoto wanateseka kwa sababu ya mpumbavu mmoja kuendekeza tamaa za kijinga, kisha unafikiria huyo mpumbavu anaendelea kula bata mtaani akipanga mipango ya kuharibu familia nyingine.
Hitimisho, mwanaume aliyefumaniwa na mke wa mtu sio wa kuonea huruma, make him feel the consequence of destroying your family.
 
Tutakualika kwenye Kikao Na. 35 mkuu. Soon tutalate Tangazo la kuomba Agenda. Tumekubaliana kiwe live hapa jukwaani.
 
Kama umewah pita nao,na hautorudia kama mimi,kula like hapa.
 
Hiyo A itakua uliangalizia haina faida kwako
 
Muulizeni mfalme Daudi ilikuwaje kwa mke wa Uria awape madesa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…