Labda mashabiki wake wangemwita baba wa Taifa MWENZA kwa sababu aliiasisi Tanzania akishirikiana na mwenzake Karume, hapo ningewaelewa.Mkuu
Ulichoandika hapa ni tofauti na kichwa cha habari.
Labda tukuulize unafahamu sifa za kiongozi wa taifa kuitwa baba wa taifa?
a) Kama jibu ni ndiyo zitaje, kisha fafanua kwanini?
b) kama jibu ni hapana, kwanini umeiweka hii hoja hapa na hujui unachokiwakilisha.