Kikao gani kiliamua Nyerere awe 'Baba wa Taifa'?

Labda mashabiki wake wangemwita baba wa Taifa MWENZA kwa sababu aliiasisi Tanzania akishirikiana na mwenzake Karume, hapo ningewaelewa.
 

Bora apewe Mr. Bagamoyo na madaraja matatu... finally kafanikiwa kuivunja Tanganyika...
 

Nadhani wewe ni new member,thread kama hii ziko nyingi humu,ushugulishe ubongo wako utaziona
 

nilifikiri vichaa wanapungua kumbe mpaka humu jamii forum mpo...!
Sasa na ww kwa akili yako mwl. Nyerere utamlinganisha kweli na mwinyi au mkapa na hata huyo kikwete? Ni sawa kulinganisha Messi na kuna Ngassa..
Nitakubaliana na hoja zenu mpaka tuu pale doctors watakapo cofm that ur witted....
 

Kinaja bado unaleta swali ambalo jibu ni lile unalolitaka. Pia Nyerere sio mtu pekee duniani anaye itwa baba wa taifa, wapo watu kibao wenye vyeo hivyo hapa duniani.
 
Labda mashabiki wake wangemwita baba wa Taifa MWENZA kwa sababu aliiasisi Tanzania akishirikiana na mwenzake Karume, hapo ningewaelewa.

Mkuu, leo sihitaji sana mjadala nimechoka, labda tusaidie na msaidie mtoa hoja kutuelimisha, tuwe kama wenye akili

timamu hivi.
Ilikukanusha jambo flani lazima ulijuwe vema undani wake, vinginevyo ni ushabiki usio na mizania katika kubisha.

Labda tukuulize unafahamu sifa za kiongozi wa taifa kuitwa baba wa taifa?

a) Kama jibu ni ndiyo zitaje, kisha fafanua kwanini?

b) kama jibu ni hapana, kwanini aiweke hii hoja hapa na hajui unachokiwakilisha.
 
mtu aliyeanzisha hela na huyo alieanzisha jf hawa watu ni hatari
 

sawa mie kichaa wewe mzima mbona umeshindwa kuelewa kuwa hakuna sehemu tuliyolinganisha bali wametajwa kama mfano? Kwa nini unahofu Nyerere kujadiliwa? Acha ajadiliwe kama unayajua mazuri yake weka hapa na mwenye kuyajua mabaya yake waweke ili tumjue pande zote mbili.matusi ni style za wajanja wa zamani unaweza kujadili bila ya kutukana hapa!
 

Sawa kabisa mkuu,ana mazuri yake na ana mabaya yake,na kila mtu ana mtazamo wake,watu wote hatuwezi kufikiria sawa,wangine kumzungumzia Nyerere kwa yale aliyo kosea inaonekana kufuru na dhambi.
 
Kinaja bado unaleta swali ambalo jibu ni lile unalolitaka. Pia Nyerere sio mtu pekee duniani anaye itwa baba wa taifa, wapo watu kibao wenye vyeo hivyo hapa duniani.

mbona unaongea kibubusa.
 
Wakati Mwinyi anaingia Ikulu,hakukuwa na pesa za kuwalipa mishahara wafanyakazi,ilibidi Mugabe aokoe jahazi.
 
Bahati yako umepigwa BAN, manake ningetaka unieleze ni kikao gani kiliamua baba yako aitwe baba yako
 


Bora useme wewe mkuu, sijaona upeo wa chini wa kufikiri wa kiwango hiki. Inasaidia nini kuchukia dini ya mwenzio? Haya ni mambo ya ajabu sana. Duh!
 
Heshma aliyoipata Nyerere haikutokana na vikao .Nyerere alijijengea Heshma kwa yale aliyo yafanya katika Jamii ya Tanzania na Kimataifa kwa Kadri ya uwezo wake ambao Mungu alimjali. Kumbuka kuna wengine walijaribu hapo katikati kutoa majina mbalimbali kwa Viongozi walifuatia lakini yalikosa mshiko kwani hayaku husiana kiuhalisia na yale waliyoyafanya katika Uongozi wao.

Kuhusu suala la Utakatifu halihusiani na nafasi yake kama Rais au Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wala si haki kufikiri kuwa Utakatifu unapatikana kwa lile ulilolitenda kwa Kanisa.Utakatifu kwa Maoni yangu siyo ofa au zawadi kwa Mtu ni mchakato maalum kabisa ambao unahusiana na maisha Binafsi ya Muumini na kwanamna alivyo ishi kwa unyenyekevu na kutekeleza maagizo ya Mungu .
 
Ni kikao gani kiliamua kwamba mwanamme aliyezaa na mama yako mzazi umuite "baba"?
 
Kikao kilifanyika nyumbani kwako, mbele ya baba yako na mama yako....baada ya kukubaliana wakakutuma wewe
kuutangazia umma pale barazani kwenu kwa kutumia vuvuzela kama zile za kwenye world cup SA. Je, unalingine?

Kumbe kweli humuJFkuna wapumbavu kwelikweli.Hivi kwanini udini wawakristo hauwenekani ila wawaislamu tu?Au hiyo yenu sio dini ya kweli hivyo haistahili kuitwa udini bali ukafiri?Mtoa uzi kauliza vizuri tu,Baba wataifa ni heshima tu kwamchangowake ktk Taifa,Lakini maaskofu wanataka kumsimika mwenyeheri kalifanyia nini kanisa na kuwaacha waislam nyuma haliyakua yeye si MDINI?.Hapo ndo tunaamini Nyerere ndiye mwasisi wa UDINI tanzania.Baada ya kulegalega ktk utawala wa kikwete maaskofu wanataka kuurudishia nguvu kupitia DR SLAA.
 
Karibu kila taifa lina FOUNDING FATHERS! Ni vikao gani mataifa yao yalikaa na kuwatunuku u-founding father?
 


Umegusa mfupa wapumbavu lazima wadhihirishe upumbavu wao kwa kuendelea kukanusha.Huyo ndio mwasisi wa mfumo ule hatari mfumo K.Mtangazaji wamfumo huo ni vyombo vya habari kwakupotosha hivyo ili kuulinda mfumo.Hili la arusha kidoogo wametumia busara.
 

jamaa anataka kujua ni nani aliempa ubaba wa taifa inawezekana kuna mtu/watu au kikundi ambao walimwita kwa mara ya kwanza hata yeye kujitambua kuwa ni baba wa taifa. Au alijiita yeye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…