Weka hisia pembeni!
Tunajadiliana kutaka kujua ni sababu au vigezo vipi vinavyomfanya nyerere aitwe baba wa Taifa.
Je,una sababu zozote (ukiachilia zilizotajwa) za kumuita nyerere baba wa Taifa?
kwakweli Mimi sikubaliani na nyerere kuwa baba wa taifa sababu 'ALIJIITA MWENYEWE' mimi nashauri mzee Mohamed said wa hapa JF au mmoja wa wazee wake wa kariakoo 'ateuliwe na Rais' kuwa Baba wa taifa, au hata shekh Hassan ulanga wa mwanza naye anafaa, Au una wazo gani mkuu?