Kikatiba, Waziri Mkuu ndiye Msimamizi wa Mawaziri wote. Sasa Lukuvi na Kabudi watasimamia Mawaziri vipi?

Nani asiye jua lukuvi,na kabudi ni watu potential !?, ameona kuwaacha hawa watu italeta mijadala mirefu ,so ameamua kutuliza hali ya hewa! Binafsi nimekuelewa kuwa ,hao wameachwa Kama washauri wakuu wa rais !! yaani kwa lugha ya mtaani watakuwa ni wakuda ,yaani wanaangalia wazr gani,au katibu yupi hawajibiki kikamilifu ,wanamshauri rais afanye Jambo !!! ila sijajua mishahara yao itakuwa na reflection ya idara gani.yote juu ya yote ,ametumia busara ku settle Mambo!!
 
Nimejifunza kuwa kuna mtu anawekwa Kando kinamna. Amesema "kuwasimamia vizuri hawa Mawaziri waweze kutenda. Yaani hawa vijana nilioapisha Leo wanahitaji usimamizi mzuri". That was a very strong indirect message to someone who was playing behind the back of her Excellency. Open the code!!!!
 
Rais Samia leo amesema amewaondoa kwenye baraza la mawaziri Lukuvi na Kabudi ili wabakie ikulu kuwasimamia (kuwachapa viboko!) mawaziri wengine wote. Pia Rais Samia amesema nafasi za Kabudi na Lukuvi haziko popote kwenye muundo wa serikali (yaani haziko kikatiba).

Sasa hoja iko hapa.
Katika mazingira ambayo baraza la mawaziri ni chombo huru cha kikatiba katika kuendesha serikali, wajumbe wake wakitajwa kikatiba (Rais, makamu wa rais, Rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri (sio manaibu waziri)), ni vipi mtu asiye mjumbe wa baraza la mawaziri (kama Lukuvi na Kabudi) akawa na mamlaka ya kusimamia utendaji kila siku wa baraza la mawaziri?
Ni vipi siri za baraza la mawaziri zitalindwa ikiwa wasimamizi wake (Lukuvi na Kabudi) sio wajumbe na hawakuapa popote kuzilinda?

Kikatiba waziri mkuu ndio kiongozi, msimamizi na kiranja wa mawaziri wote. Kwa kauli hii ya leo ya Samia (ambayo yeye mwenyewe amekiri haiko kikatiba) inapora mamlaka ya waziri mkuu katika kuwasimamia mawaziri wote ili kuwapa mamlaka Lukuvi na Kabudi.
Je, Lukuvi na Kabudi wanafanya kazi hizo kwa sheria ipi?
Watatumia mamlaka ipi ya kikatiba kufanya kazi hizo?
Watalipwa na nani kufanya kazi hizo ikiwa sheria na muundo wa serikali hauwatambui?

Je watawajibika kumsimamia (kumchapa viboko!) na waziri mkuu katika utendaji wake?

Nini kitatokea ikiwa utendaji(usimamizi) wa Lukuvi na Kabudi utakinzana na utendaji (usimamizi) wa waziri mkuu katika kuwasimamia mawaziri.
Hapa ndio umuhimu wa katiba mpya. Katiba iseme categorically idadi ya wizara na majina yao. Maana sasa hao watalipwa kwa nafasi zipi?
 
Katiba haijamtaja Rais kama mjumbe katika baraza la mawaziri!

Wasaidizi Maalum wa rais kuhusu utendaji wa Mawaziri.
 
Kacheza na akili za watu anajua watu hawajafurahia hao watu kuachwa. Jinsi Lukuvi alivyoshughulia matatizo ya ardhi na jinsi Kabudi alivyoshughulikia matatizo ya mikataba mibovu ya nchi kaona Bora amsogeze pembeni.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Lukuvi sawa lkn siyo kwa kuboronga kwa Kabundi
 
PM ametengwa kimtindo? Huyu kumwondoa lazima serikali ivunjike; ni mtu mzito pengine mama asingependa kwenda to that extent kaamua kutumia Plan B. Let's wait and see!
Mimi naona waziri.mkuu anasafishiwa njia na kuwa waziri asiepatwa na uchafu.nahic kuna jamba mbele yake.

Kama unakumbuka waziri mkuu alipokwa madaraka yake tangu pale TAMISEMI iliporudishwa ofisi ya Rais.

Kuanzia pale waziri.mkuu ameachwa huru na hakua na kazi ya kufanya na kwa kua hakua na kazi ya kufanya na kama hana kazi ya kufanya utamchafuaje!!

Hivyo ninachokiona hapa huko baadae hata akiandaliwa kupeperusha bendera itakua lahisi kwake.
 
Nimejifunza kuwa kuna mtu anawekwa Kando kinamna. Amesema "kuwasimamia vizuri hawa Mawaziri waweze kutenda. Yaani hawa vijana nilioapisha Leo wanahitaji usimamizi mzuri". That was a very strong indirect message to someone who was playing behind the back of her Excellency. Open the code!!!!
+ 'majukumu hayo hayapo kwenye muudo".
Mjinga ndio tu atachelewa kushtuka
 
... ungetusaidia kama ungetuwekea sababu na utaratibu wa Rais kumuondoa PM.
Kwa katiba ya sasa hakuna utaratibu ulioanishwa wa kumuondoa waziri mkuu, mawaziri, wakuu wa mikoa n.k pia kwa katiba hii Rais hahiitaji kutoa sababu zozote kuwaondoa viongozi au watumishi katika mhimili wake isipokuwa CAG tu.
 
Lukuvi atakuwa kama Mshauri Mkuu wa Mh. Rais kuhusu mambo yote ya uongozi kwa ujumla navyoona mimi, kitu ambacho ni kizuri sana sanaaa..

Waziri Mkuu haihusiani na hili, Mh. Rais anaweza kumteua mtu yeyote/watu kadhaa kuwa wasaidizi wake kwa mambo mbalimbali, kwa jinsi yeye Mh. Rais atakavyoona inafaa, na haulizwi kwa hili, ana mamlaka hayo.

Ila hii ni red light kwa Majaliwa, 2025 akirudi kuwa PM, basi Mungu amshukuru kwa sana.
PM aanze kukaa mguu sawa!
 
... hatoki kirahisi Mkuu! Ni process fulani ndefu tofauti na mawaziri wa kawaida ambao taarifa za kuondolewa kwao wanaweza kuzipatia bar. Pengine ndio maana mama hakutaka maprocess marefu kaamua atumie shortcut fulani hivi.
Na hiv pm ana mvuto kwa watu na wanasiasa ..bas imekua tabu kwelkwel
 
Naona mama katumia lugha ya kidiplomasia zaidi ila Nia ni kuwafanya washauri Wake binafsi
 
Wamembakiza PM Majaliwa ili kupunguza gharama za kuhudumia Mawaziri Wakuu wastaafu. Majaliwa na Ndugai lao moja, ni wazee wa busara ndiyo wamemuombea kwa Mama abakie

Majaliwa atabakia figurehead lakini hatapewa kazi nyeti za Waziri Mkuu. Kama hujanielewa hapa basi

Atavimbiwa sana PM na Hao Mawaziri kwenye Cabinet usishangae mpake 2024 akawa hana Hamu na Icho cheo Kabisa
 
Mama kaamua kusawazisha hali ya hewa.
Binafsi naiona hii kama mbinu ya mama kuwabana lukuvi na kabudi ktk harakati zao za kumuangusha mama kwenye mbio zake za urais 2025. Maana hawa kabudi na lukuvi walikuwa ni key players wa sukuma gang
 
Back
Top Bottom