Kikatiba, Waziri Mkuu ndiye Msimamizi wa Mawaziri wote. Sasa Lukuvi na Kabudi watasimamia Mawaziri vipi?

hapa
hapa mwalimu angejiuzuru boss kamkataa kiaina
 
Hata Mwandosya aliwahi kuwa waziri asiye na Wizara Maalum,kipindi cha Kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…