Kikosi bora cha mwaka JF

Hahahaha braza em tupe mstari kidogo

Wanaosema jf burudani, mnaniruhusu nifanye utani?

Mshana ndio nani, hili jina mbona sio geni?

Au ndo yule kijana mkazi wa pwani, ana cv ya ulozi kwa kufuga maruani/

Achana nae anajifanya mtu wa imani, maana alishindwa kujibu akili ni nini?

Wenzake wanazama baharini wanaibuka na majini, ye anazama chumvini hajui kuna ukimwi?

Cc Mshana Jr
 
hahahahaha unatisha kama njaa braza nakubali
 
Asante mungu sijawekwa humo maana ningeuza timu na mashabiki wote
 
Hicho kikosi mi ndio nakiongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…