Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Hahahaha braza em tupe mstari kidogo
Wanaosema jf burudani, mnaniruhusu nifanye utani?
Mshana ndio nani, hili jina mbona sio geni?
Au ndo yule kijana mkazi wa pwani, ana cv ya ulozi kwa kufuga maruani/
Achana nae anajifanya mtu wa imani, maana alishindwa kujibu akili ni nini?
Wenzake wanazama baharini wanaibuka na majini, ye anazama chumvini hajui kuna ukimwi?
Cc Mshana Jr