Kikosi bora cha mwaka JF

Super sub nipo nasubiri niingie kipindi cha pili niamue mchezo kama alivofanya Chota Chama kwenye mechi na Vita au Nkana🤪🤪🤪
Hahahaaa. Inabidi uzidishe mazoezi Ses mana wasije kuwa wanakuingiza kwenye zile dakika za nyongeza tu. 😜😜

🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Mazoezi nitazidisha maana najua nisipofanya hivyo benchi litazidi kunihusu. Ila dakika za nyongeza si ndio za kubadili matokea sasa Shadeeya🤪🤪🤪
 
Mshauri wa team maarifa
 
uliowaandika ni waume zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…