Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usemaji kama wa manara ndo unaotakiwa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usemaji kama wa manara ndo unaotakiwa hapa
Super sub nipo nasubiri niingie kipindi cha pili niamue mchezo kama alivofanya Chota Chama kwenye mechi na Vita au Nkana🤪🤪🤪😂😂😂😂
Nashukuru sana, niko poa mdogo, mwaka wangu huu! Niko benchi kinoma!!Nakusalimia tuu mimi jamani kaka!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Da'Vinci troublemaker. MLEVi Mmoja na Zero IQ miguu yao yote miwili ni ya kushoto watatupoteza.
( Mwenyekiti wa kamati ya figisu figisu.)
Pole sana jamani kakaNashukuru sana, niko poa mdogo, mwaka wangu huu! Niko benchi kinoma!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Inabidi uzidishe mazoezi Ses mana wasije kuwa wanakuingiza kwenye zile dakika za nyongeza tu. 😜😜Super sub nipo nasubiri niingie kipindi cha pili niamue mchezo kama alivofanya Chota Chama kwenye mechi na Vita au Nkana🤪🤪🤪
Mazoezi nitazidisha maana najua nisipofanya hivyo benchi litazidi kunihusu. Ila dakika za nyongeza si ndio za kubadili matokea sasa Shadeeya🤪🤪🤪Hahahaaa. Inabidi uzidishe mazoezi Ses mana wasije kuwa wanakuingiza kwenye zile dakika za nyongeza tu. 😜😜
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mshauri wa team maarifaZikiwa zimebaki siku chache mwaka uishe.
Ningeomba tuweke kikosi bora cha jf kwa mtindo wa wachezaji soka...
Kipa.. Nyani Ngabu
Beki 2: pancho boy
Beki 3 Baba Swalehe
Beki 4 Bazazi
Beki5: rikiboy na sub yake mkwepu jr
namba 6 Da'Vinci
namba 7 CONTROLA
namba 8: Bujibuji
Namba9: Zero IQ
Namba 10: troublemaker
Namba 11 MLEVi Mmoja
Sub Hazard CFC
Nokia83
funzadume
Bitoz
Sesten Zakazaka
Benchi la ufundi..
Kocha mkuu _ Asprin
Kocha msaidizi_ Kiranga
kocha wa viungo Mwl.RCT
Kocha wa viungo 2. Don Clericuzio
Wasemaji wa team..
Matola
GuDume
Numbisa
Shadeeya
Kamati ya ufundi.. (ulozi)
Mshana Jr
Rakims
Wafadhili wa team.
Kiduku Lilo
Mikwara Ya Andunje
Tajiri Kichwa ,Tajiri mpole
Kamati ya hamasa..
Shunie
Miss Natafuta
manengelo
Mishil
Depal
Sakayo
Mabaunsa wa team..
Castr
Pablo Blanco
Jon Stephano
Dokta wa team
Mwifwa
mweka hazina wa team.
Pascal Mayalla
Daby
Watu8
Mpishi wa team..
Sky Eclat
Zesh
Mzigua90
Hawachi
Kitengo cha figisufisu bila ulozi.
MO11
joanah
Billie
Kichwa Kichafu
Viatu vya Samaki.
Ushimen
Wazee wabishi wa team (wapigaji
FaizaFoxy
mlinzi wa getini makao Makuu.
MKWEPA KODI
MAGALLAH R
Unaruhusiwa Ongezea wewe ili tupate team Kali ya jf.. Ya mwaka
Nsije kuonekana napendelea..
Ewaaaaa!! Hizo Ses ndio huwa ni zinabadili matokeo kabisaa.Mazoezi nitazidisha maana najua nisipofanya hivyo benchi litazidi kunihusu. Ila dakika za nyongeza si ndio za kubadili matokea sasa Shadeeya🤪🤪🤪
uliowaandika ni waume zako.Zikiwa zimebaki siku chache mwaka uishe.
Ningeomba tuweke kikosi bora cha jf kwa mtindo wa wachezaji soka...
Kipa.. Nyani Ngabu
Beki 2: pancho boy
Beki 3 Baba Swalehe
Beki 4 Bazazi
Beki5: rikiboy na sub yake mkwepu jr
namba 6 Da'Vinci
namba 7 CONTROLA
namba 8: Bujibuji
Namba9: Zero IQ
Namba 10: troublemaker
Namba 11 MLEVi Mmoja
Sub Hazard CFC
Nokia83
funzadume
Bitoz
Sesten Zakazaka
Benchi la ufundi..
Kocha mkuu _ Asprin
Kocha msaidizi_ Kiranga
kocha wa viungo Mwl.RCT
Kocha wa viungo 2. Don Clericuzio
Wasemaji wa team..
Matola
GuDume
Numbisa
Shadeeya
Kamati ya ufundi.. (ulozi)
Mshana Jr
Rakims
Wafadhili wa team.
Kiduku Lilo
Mikwara Ya Andunje
Tajiri Kichwa ,Tajiri mpole
Kamati ya hamasa..
Shunie
Miss Natafuta
manengelo
Mishil
Depal
Sakayo
Mabaunsa wa team..
Castr
Pablo Blanco
Jon Stephano
Dokta wa team
Mwifwa
mweka hazina wa team.
Pascal Mayalla
Daby
Watu8
Mpishi wa team..
Sky Eclat
Zesh
Mzigua90
Hawachi
Kitengo cha figisufisu bila ulozi.
MO11
joanah
Billie
Kichwa Kichafu
Viatu vya Samaki.
Ushimen
Wazee wabishi wa team (wapigaji
FaizaFoxy
mlinzi wa getini makao Makuu.
MKWEPA KODI
MAGALLAH R
Unaruhusiwa Ongezea wewe ili tupate team Kali ya jf.. Ya mwaka
Nsije kuonekana napendelea..
sasa Mwenyekiti wa kamati tuwatoe ina maana?Da'Vinci troublemaker. MLEVi Mmoja na Zero IQ miguu yao yote miwili ni ya kushoto watatupoteza.
( Mwenyekiti wa kamati ya figisu figisu.)
Mzee wewe tumekusahau unapiga ngapi si kumiView attachment 1299710
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Morinyo Bhana
Yes kula tano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usemaji kama wa manara ndo unaotakiwa hapa
Hao wataje namba zao vizuri
ndio mkuu umerdhika??