Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki kikosi cha Super eagles ndio kikosi bora cha Muda wote.
Algeria walijaribu kukaza mpaka nusu fainali ya WC ila ubora wao haujawafikia hawa jamaa
waulize Spain walivyokandwa kwenye world cup 1998
View attachment 2826364
Hiki kikosi cha Super eagles ndio kikosi bora cha Muda wote.
Algeria walijaribu kukaza mpaka nusu fainali ya WC ila ubora wao haujawafikia hawa jamaa
Waulize Spain walivyokandwa kwenye world cup 1998.
Nigeria haijawai kufika nusu fainali ya world cup.Hiki kikosi cha Super eagles ndio kikosi bora cha Muda wote.
Algeria walijaribu kukaza mpaka nusu fainali ya WC ila ubora wao haujawafikia hawa jamaa
Waulize Spain walivyokandwa kwenye world cup 1998.
Roga Mila ,Roger Milla ,Kunde Yekete ,amakanaki ,amakanaki.Nafikiri Cameroon ya 1990 ndio ilikuwa timu bora zaidi ya muda wote serious tough Roger Milla, Emmanuel Kunde, Cyril Makanaky, Kana Biyik, Thomas Nkono, Tataw, Mbouh, Oman Biyik, Mfede, Ndip, Massing.
Hiki kikosi cha Super eagles ndio kikosi bora cha Muda wote.
Algeria walijaribu kukaza mpaka nusu fainali ya WC ila ubora wao haujawafikia hawa jamaa
Waulize Spain walivyokandwa kwenye world cup 1998.
Okocha mbona namuonaga Dstv?Okocha alikuwa wa moto saana yule jamaa, ni kama nzi tu angeacha ujinga fulani anatengeneza asali.
Kipaji cha okocha afrika hii, sijaona tena, ronaldinho anakiri hili na anamkubali saana huyu muhuni, na alimlalamikia kukimbilia ligi kuu ya uingereza(bolton) timu ambayo pia haikuwa na wachezaji wa ubora wake, mwishowe dunia haimkumbuki sawa na Kipaji chake.
Zingatia hii kauli HAKUMBUKWI sawa na kipaji chake. Dstv mbona wengi tu wapo.Okocha mbona namuonaga Dstv?
Ulitaka akumbukwe vipi? Wewe mbona huitwi Dstv,?Zin
Zingatia hii kauli HAKUMBUKWI sawa na kipaji chake. Dstv mbona wengi tu wapo.
Ubatafuta ubishi, tusumbuane kwenye keyboard😂😂Ulitaka akumbukwe vipi? Wewe mbona huitwi Dstv,?
Honey biko no start wetin you no go fit to finishAll my friends they call me number 10. Cause I dey play like Okocha. Dey score like Ronaldinho.