Kikosi bora cha team ya Taifa, Afrika nzima haijawahi tokea hii combination

Kikosi bora cha team ya Taifa, Afrika nzima haijawahi tokea hii combination

Hiki kikosi cha Super eagles ndio kikosi bora cha Muda wote.

Algeria walijaribu kukaza mpaka nusu fainali ya WC ila ubora wao haujawafikia hawa jamaa

Waulize Spain walivyokandwa kwenye world cup 1998.

Ilikuwa timu bora sana kipindi hicho, ila haikufanya makubwa. Mara nyingi hivi vizazi vya dhahabu Nchi nyingi zimepita patupu.
 
weka first 11 yao tuichambue
abGuGf8anz.jpg

Kikosi kilichocheza na Ufaransa.
 
Hiki kikosi cha Super eagles ndio kikosi bora cha Muda wote.

Algeria walijaribu kukaza mpaka nusu fainali ya WC ila ubora wao haujawafikia hawa jamaa

Waulize Spain walivyokandwa kwenye world cup 1998.

Acha kufananisha kikosi cha Algeria na hicho cha Nigeria yako.

Pia Morocco 🇲🇦 weka mbali na timu zote Afrika

Kwangu mimi ukiniambia nichague timu ipi bora Afrika kwanzia miaka ile mpaka hii leo, basi nitakuambia MOROCCO NA ALGERIA
 
Hiki kikosi cha Super eagles ndio kikosi bora cha Muda wote.

Algeria walijaribu kukaza mpaka nusu fainali ya WC ila ubora wao haujawafikia hawa jamaa

Waulize Spain walivyokandwa kwenye world cup 1998.

Tuletee na kile kikosi cha Cameroon kilichosumbua mwanzoni mwa miaka ya 2000.

Mboma, Etoo, Song, Ndiefi, Raymond Kala, Marc Vivien Foe na wengineo
 
Morocco ya akina mustafa haji, Yusuf haji.....miaka inaenda aisee

Morocco, Algeria, Nigeria and Senegal all the time
 
Wawapi tena huyu kamanda! Mi nawajua akina Mustafa haji na yusuf haji ambae ni ndugu yake

Ukiacha Youssouf Hadji, alikuwepo pia huyo niliyemtaja tena walikuwa wanacheza na Mustapha timu ya Coventry...

Naye alikuwa na nywele anafunga usinga kwa nyuma...
 
Back
Top Bottom