Kikosi bora kabisa cha wakati wote (bush Stars)

Kikosi bora kabisa cha wakati wote (bush Stars)

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
1,821
Reaction score
6,119
41617408_870589029800695_3872193186650652672_n.jpg
41617408_870589029800695_3872193186650652672_n.jpg
 
Mapungo alikuwa toleo la Bongo hawa ni toleo la sani
.
Sema mapungo alikuwa hatar sana hadi alienda ulaya na kabla ya kusajiliwa akaibiwa pesa hoteli balaa sana
Mapungo alikua fundi aisee anaondoka na kijiji. Ilikua raha sana enzi hizo unasubiria game ya Bush starz na Born town zaidi ya Simba na Yanga
 
Mapungo alikua fundi aisee anaondoka na kijiji. Ilikua raha sana enzi hizo unasubiria game ya Bush starz na Born town zaidi ya Simba na Yanga
😂 😂😂😂mzee ilikuwa balaa tupu kwenye kile kokosi chao unamkuta winga ya kushoto Njomba nchumali kati yupo mesi wao mapungo dah acha tu
 
Back
Top Bottom