Kikosi bora kabisa cha wakati wote (bush Stars)

Kikosi bora kabisa cha wakati wote (bush Stars)

Hizi timu,ikifika halftime,unapigwa ugali ambao wachezaji hawaonani,alafu mpira ukianza,wanakuwa na njaa tayari,,,,,those good ole days
 
Hahaha dah! umenikumbusha mengi sana. Sijui ni kwa nini hakukuwa na muendelezo wa yale magazeti.
 
Jamaa
Mapungo alikuwa toleo la Bongo hawa ni toleo la sani
.
Sema mapungo alikuwa hatar sana hadi alienda ulaya na kabla ya kusajiliwa akaibiwa pesa hoteli balaa sana
Jamaa hadi alisajiliwa Chelsea ,hela ya usajili akawa anaitumbua kwa kulala na mademu three some afu jamaa alikuwa bitozi hatari
 
Aisee umenikumbusha mbali sana akina meko, kobelo na wengine wengi
 
Jamaa namkumbuka, yeye kazi yake utamwona ugomvi ukianza...

Anapiga roba watu wawili na wengine wanakula mateke, nakumbuka siku kawakwida jamaa halafu anawauliza "Kwani vipi wajameni".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom