Kikosi bora kabisa cha wakati wote (bush Stars)

Kikosi bora kabisa cha wakati wote (bush Stars)

Sijui alikua nani yule baada ya kusajiliwa huko ughaibuni mechi ya kwanza alipewa kwa mara ya kwanza avae six meno ile kupiga shuti si akachimba hakuugusa hata mpira, akaona isiwe shida, akavua akavitupa huko yeye keshazoea peku peku.

Ilikua burudani sana.
 
Mapungo huyo jarida la bongo
 
Namuona meko,huihui,kizibao,madenge,captain kipepe hakika kosi lilitmia , mwenye kosi la maborn town alitupie huko kuna wajanja akina bob mazishi,ndumilakuwili,pimbi, cha pombe sokomoko, mzee lodilofa,game yao ilikuwa kali zaidi ya simba na yanga au madrid na barca......
 
wacha kbs hao ni bush stars.. Madenge, nchumali,kizibao,kipepe"mzee wa nyika", njemba,hui hui, mapungo"golden boy", mzee meko,panga la shaba, bila kumsahau kiokote na wengine... Wazee wa mjini born town ndio ndumilakuwili, pimbi, lodilofa, sokomoko, Bob mazishi,jua kali,chepe, ... Nk deby hiyo maandalizi unapikwa kwenye sufuria la moto unapigwa na majabali ya mawe [emoji38][emoji38]
 
Umechanganya, wengine uliowataja ni wa kwenye Jarida la Bongo.
 
Kipepe yuko wapi? aaah ok nimeshamuona.

Maana hiyo timu bila Kipepe isingekuwa timu ya bushi hiyo.
 
Mtu hana viatu ila akikukanyaga ni bora tu angevaa six meno.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nime mkumbuka mate wangu eliantinize alikua hana madaftari lkn hakosi hao akina madenge alikua anatuletea episod zote
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hao Wamba Nakumbuka Mpaka Sub Zao Asee!

Waliosimama Kutoka Kushoto ni: Komred Kipepe (nahodha msaidiz), Kaisi, Kibinde, Hui Hui (mwenye kofia kama Crown), Kobelo na Striker Wao Machachali Mzee Meko(mwenye shati ya Madoa)
Waliochuchumaa Kutoka Kushoto ni: Kashe, Ugimbi, Madenge(goalkeeper), Kizibao na Zoba (mwenye uso kama mteremko).
HILO NDIO CHAMA LA BUSH STARS KUTOKA GAZETI LA SANI
 
Back
Top Bottom