Kikosi bora kabisa cha wakati wote (bush Stars)

Kikosi bora kabisa cha wakati wote (bush Stars)

Yaani kwenye picha tu kana vile unaona live.
 
Mapung'o si ndo huyo wa kwanza kushoto waliochuchumaa.
 
Jamaa namkumbuka, yeye kazi yake utamwona ugomvi ukianza...

Anapiga roba watu wawili na wengine wanakula mateke, nakumbuka siku kawakwida jamaa halafu anawauliza "Kwani vipi wajameni".
😂😂😂huihui mzee wa miguvu ila mpira hamna kitu hajawah kugusa mpira kabisa
 
Kwenye ngumi kulikuwa na Zena na Betina
Mmoja mnene mmoja mwembamba ila ngumi zake sasa zinaamuliwa na mama yake zena akija na uchawi wake, huku pimbi akimkacha Betina
 
Mapung'o si ndo huyo wa kwanza kushoto waliochuchumaa.
Mapungo alikuwa gazeti la bongo na akina kiokote na njomba nchumali alikuwa uwanjani anaondoka na kijiji afu ana upara na midevu
 
Nitapata wapi Yale majarida ya sani?
Ni ngumu kuyapata mana wachoraji wengi walishakufa afu hata waliokuwa wanayauza sidhani kama hata wanakumbukumbu zake
 
Hivi yule aliyekuwa na gobore la mbao upara mkubwa ni nani?
 
Back
Top Bottom