GE2025 Kikosi cha Askari 320 wasio na sare wamesambazwa nchi nzima kukamata wanaopinga serikali

GE2025 Kikosi cha Askari 320 wasio na sare wamesambazwa nchi nzima kukamata wanaopinga serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Huu ujinga sana wanaoleta sasa

Hawana sare
Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata mtu!

Wana pesa bajet maalumu wamepewa na kitengo cha upelelezi

Nchi imeoza badala wakamate wanaoibia nchi wanakamata wanaokosoa utendaji

Mbaya zaidi kuna maelekezo ya shoot to kill jambo ambalo hawataweza kufanikiwa Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo

Wanawekwa kwenye target wachungaji na watu wenye ushawishi kwenye jamii

Britanicca
 
Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo

Britanicca
Mkuu Burita, britanicca , kama ni kweli maandamano ya tarehe 29 October sio ya siku moja, basi nawashauri yaanzeni tarehe 30 October na kuendelea, tarehe 29 October tuna jambo letu, liacheni lipite salama, watu wakatiki, kisha kuanzia kesho yake, nyie andamaneni na ulinzi tutawapa.

Ni ushauri tuu ili msiumize bure watu wenu!.
P
 
Mkuu Burita, britanicca , kama ni kweli maandamano ya tarehe 29 October sio ya siku moja, basi nawashauri yaanzeni tarehe 30 October na kuendelea, tarehe 29 October tuna jambo letu, lichen limited salama, watu wakatiki, kisha andamaneni.

Ni ushauri tuu ili msiumize bure watu wenu!.
P
Wakatiki wapi ? Acha kujitoa akili ! Anashindana na nani ? Mbona mnakuwa hivi aisee
 
Back
Top Bottom