GE2025 Kikosi cha Askari 320 wasio na sare wamesambazwa nchi nzima kukamata wanaopinga serikali

GE2025 Kikosi cha Askari 320 wasio na sare wamesambazwa nchi nzima kukamata wanaopinga serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakatiki wapi ? Acha kujitoa akili ! Anashindana na nani ? Mbona mnakuwa hivi aisee
Kwenda kutiki maana yake kukamilisha tuu taratibu za takwa la kikatiba, na kiukweli hakuna mashindano yoyote na yeyote, ni yeye tuu. Kama ni ushindi, kazi iliishamalizika kitambo tena ni mimi niliwatangazia humu matokeo ya jumla ya uchaguzi mkuu wa rais wabunge na madiwani wa 2025. Thread 'Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa. CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa. CCM Amekomba Almost Everything!

P
 
Mkuu Burita, britanicca , kama ni kweli maandamano ya tarehe 29 October sio ya siku moja, basi nawashauri yaanzeni tarehe 30 October na kuendelea, tarehe 29 October tuna jambo letu, lichen limited salama, watu wakatiki, kisha andamaneni.

Ni ushauri tuu ili msiumize bure watu wenu!.
P
Maandamano yanaanza tahere 29/10 asubuhi

Tuone wanaotiki na wanaoandamana Ni wapi wengi

Nyie machawa katikini

Tutakutana barabarani
 
Huu ujinga sana wanaoleta sasa

Hawana sare
Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata mtu!

Wana pesa bajet maalumu wamepewa na kitengo cha upelelezi

Nchi imeoza badala wakamate wanaoibia nchi wanakamata wanaokosoa utendaji

Mbaya zaidi kuna maelekezo ya shoot to kill jambo ambalo hawataweza kufanikiwa Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo

Wanawekwa kwenye target wachungaji na watu wenye ushawishi kwenye jamii

Britanicca
Tulisha kuzoea kwa uzushi na mambo yasiyo na uhakika acha kuwatia hofu wananchi endelea na itikadi zako zisizo na mafanikio
 
Mkuu Burita, britanicca , kama ni kweli maandamano ya tarehe 29 October sio ya siku moja, basi nawashauri yaanzeni tarehe 30 October na kuendelea, tarehe 29 October tuna jambo letu, lichen limited salama, watu wakatiki, kisha andamaneni.

Ni ushauri tuu ili msiumize bure watu wenu!.
P
Pascal Mayalla hata waandamanaji pia wana haki kikatiba kwanini mnataka kuwanyima haki yao?
 
Huu ujinga sana wanaoleta sasa

Hawana sare
Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata mtu!

Wana pesa bajet maalumu wamepewa na kitengo cha upelelezi

Nchi imeoza badala wakamate wanaoibia nchi wanakamata wanaokosoa utendaji

Mbaya zaidi kuna maelekezo ya shoot to kill jambo ambalo hawataweza kufanikiwa Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo

Wanawekwa kwenye target wachungaji na watu wenye ushawishi kwenye jamii

Britanicca
Rocket 🚀 halina reverse mkuu..

MO29 imewafikia wapuuzi hao na hao askari tukiwabaini tunawachoma moto live..

 
Pascal Mayalla hata waandamanaji pia wana haki kikatiba kwanini mnataka kuwanyima haki yao?
Kila haki ina wajibu, kila uhuru una mipaka, mwisho wa uhuru wako ni usiingilie uhuru wa mwingine.

Tarehe 29 October, watu tuna jambo letu, halafu kupanga maandamano kuingiliana na jambo letu ni fair?
P
 
Ukitaka kuandamana usimpe taarifa yeyote
Wewe ikifika tar 29 vaa mabuti ongoza njia.
Atakayejaribu au kuthubutu kuandamana ni lazima aandae miguu ya bandia atakayotumia baadaye baada ya kuvunjwa.

Nakupa tahadhali ephen wangu kuwa usijaribu kuandamana wala kupeleka miguu yako kuandamana. Hakuna huruma kwa atakaye jaribu kuandamana
 
Back
Top Bottom