Brita sasa askari 320 ktk nchi nzima watafanya nini? watakaa wilayani ? kata? kijijin? au mkoani? It make no sense kuwa hio iwe ni special strategy ya vyombo vya ulinzi.Huu ujinga sana wanaoleta sasa
Hawana sare
Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata mtu!
Wana pesa bajet maalumu wamepewa na kitengo cha upelelezi
Nchi imeoza badala wakamate wanaoibia nchi wanakamata wanaokosoa utendaji
Mbaya zaidi kuna maelekezo ya shoot to kill jambo ambalo hawataweza kufanikiwa Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo
Wanawekwa kwenye target wachungaji na watu wenye ushawishi kwenye jamii
Britanicca
Sio watu wao, ni watu wetu Pascal. Kama sio mwanao, anaweza kuwa mtoto wa mjomba wako.ushauri tuu ili msiumize bure watu wenu!.
Utoke mapovu ya mdomoni kuwatetea basi uwe unapewa hata 100, kazi ya bure.Atakayejaribu au kuthubutu kuandamana ni lazima aandae miguu ya bandia atakayotumia baadaye baada ya kuvunjwa.
Nakupa tahadhali ephen wangu kuwa usijaribu kuandamana wala kupeleka miguu yako kuandamana. Hakuna huruma kwa atakaye jaribu kuandamana
Mimi nawapeni ukweli wa bure kabisa bila kuhitaji chochote kile kutoka kwenu. Narudia kusema tena kwa yeyote atakaye jaribu kuandamana na kupeleka pua yake kuandamana. ni lazima ufahamu ya kuwa hakutakuwa na huruma na mtu wa aina hiyo na ahakikishe ya kuwa anakuwa na miguu ya bandia atakayotumia baadaye .Utoke mapovu ya mdomoni kuwatetea basi uwe unapewa hata 100, kazi ya bure.
Yaani wewe unaweza kuua mtu.Mimi nawapeni ukweli wa bure kabisa bila kuhitaji chochote kile kutoka kwenu. Narudia kusema tena kwa yeyote atakaye jaribu kuandamana na kupeleka pua yake kuandamana. ni lazima ufahamu ya kuwa hakutakuwa na huruma na mtu wa aina hiyo na ahakikishe ya kuwa anakuwa na miguu ya bandia atakayotumia baadaye .
Naomba usiandamane wala kushawishi mtu kuandamana maana hakunaga huruma katika kulinda amani na usalama wa Taifa. Hakutakuwa na huruma kwa atakaye jaribu kuchezea amani na usalama wa Taifa letuYaani wewe unaweza kuua mtu.
Ya kweli haya?Huu ujinga sana wanaoleta sasa
Hawana sare
Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata mtu!
Wana pesa bajet maalumu wamepewa na kitengo cha upelelezi
Nchi imeoza badala wakamate wanaoibia nchi wanakamata wanaokosoa utendaji
Mbaya zaidi kuna maelekezo ya shoot to kill jambo ambalo hawataweza kufanikiwa Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo
Wanawekwa kwenye target wachungaji na watu wenye ushawishi kwenye jamii
Britanicca
Van pebles maamaee.......
Shoot kill order kwa wakosoaji tena raia wa nyumbani ni lowest level ya mtoa command.Huu ujinga sana wanaoleta sasa
Hawana sare
Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata mtu!
Wana pesa bajet maalumu wamepewa na kitengo cha upelelezi
Nchi imeoza badala wakamate wanaoibia nchi wanakamata wanaokosoa utendaji
Mbaya zaidi kuna maelekezo ya shoot to kill jambo ambalo hawataweza kufanikiwa Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo
Wanawekwa kwenye target wachungaji na watu wenye ushawishi kwenye jamii
Britanicca
Fuk off lucas, babs zetu akina j.k.nyerere, akina mandela, akina walter sisulu, akina oliver tambo, akina andrew mpangeni?Mimi nawapeni ukweli wa bure kabisa bila kuhitaji chochote kile kutoka kwenu. Narudia kusema tena kwa yeyote atakaye jaribu kuandamana na kupeleka pua yake kuandamana. ni lazima ufahamu ya kuwa hakutakuwa na huruma na mtu wa aina hiyo na ahakikishe ya kuwa anakuwa na miguu ya bandia atakayotumia baadaye .
Mbona ni wachache sana hao, kazi wataiweza?Huu ujinga sana wanaoleta sasa
Hawana sare
Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata mtu!
Wana pesa bajet maalumu wamepewa na kitengo cha upelelezi
Nchi imeoza badala wakamate wanaoibia nchi wanakamata wanaokosoa utendaji
Mbaya zaidi kuna maelekezo ya shoot to kill jambo ambalo hawataweza kufanikiwa Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo
Wanawekwa kwenye target wachungaji na watu wenye ushawishi kwenye jamii
Britanicca
Miguu bandia lakini nchi imekombolewa , tangu mmeanza kuwaua wakosoaji na wanaongea ukweli mmefanikiwa kutatua tatizo na mkwamo uliopoMimi nawapeni ukweli wa bure kabisa bila kuhitaji chochote kile kutoka kwenu. Narudia kusema tena kwa yeyote atakaye jaribu kuandamana na kupeleka pua yake kuandamana. ni lazima ufahamu ya kuwa hakutakuwa na huruma na mtu wa aina hiyo na ahakikishe ya kuwa anakuwa na miguu ya bandia atakayotumia baadaye .
Watekaji sio wengiMkiwa 3 barabarani ujue hapo kuna mtekaji 1, anayetiki 1 na anayetoka 1.