GE2025 Kikosi cha Askari 320 wasio na sare wamesambazwa nchi nzima kukamata wanaopinga serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huu ujinga sana wanaoleta sasa

Hawana sare
Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata mtu!

Wana pesa bajet maalumu wamepewa na kitengo cha upelelezi

Nchi imeoza badala wakamate wanaoibia nchi wanakamata wanaokosoa utendaji

Mbaya zaidi kuna maelekezo ya shoot to kill jambo ambalo hawataweza kufanikiwa Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo

Wanawekwa kwenye target wachungaji na watu wenye ushawishi kwenye jamii

Britanicca
😢😢😢😢😢
 
Ulichosema ndiyo kilivyokuwa
 
You warned.
 
... kakikosi kadogo sana hako!
KUNA HAJA YA KUWA NA ASKARI WA NAMNA HIYO HATA 5'000 ILI
KUDHIBITI UASI JAPO KWA 40%!
 
britanicca huwa upo mbele sana ya muda sema humu jukwaani kuna chawa pro huwa wanakubeza sana lakini sisi tutaanza kuzingatia kila nukta ya neno utakalo sema hakika tungesoma bandiki hili na kulielewa ndugu zetu wasingeuliwa kizembe.
Swali la nyongeza kwako britanicca kwa lugha rahisi ni kwamba wale wauaji ni polisi wetu hawa hawa au ni raia wa kigeni??
 
Huu ujinga sana wanaoleta sasa

Hawana sare
Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata mtu!

Wana pesa bajet maalumu wamepewa na kitengo cha upelelezi

Nchi imeoza badala wakamate wanaoibia nchi wanakamata wanaokosoa utendaji

Mbaya zaidi kuna maelekezo ya shoot to kill jambo ambalo hawataweza kufanikiwa Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo

Wanawekwa kwenye target wachungaji na watu wenye ushawishi kwenye jamii

Britanicca
Shoot to kill ndicho kilichotokea

Baada ya hii episode kuisha what next? Wamefaidika na nini? Nafsi zao zimeridhika sasa? Wanagonga glass za mvinyo au wamefanya sherehe kabisa??

Zamani nikiwa mdogo niliamini kabisa kwamba polisi na mwanajeshi huwa hawaendi nyumba za ibada kusali, niliamini ukishachagua kazi hiyo wewe umeshajiunga na shetani kikamilifu. Nilishangaa siku moja niko kanisani namuona mwanajeshi na magwanda yake, aisee sikuamini macho yangu!!

Kumbe akili zangu za utoto zilikuwa sahihi baana!! Haya yanayotokea yamenifanya niamini akili zangu za utotoni na sasa naliongeza kundi lingine kwenye orodha hiyo, kundi la wanasiasa! Hawa hawatakiwi kukanyaga nyumba za ibada kwani miguu yao inanuka damu na hawako tayari kutubu hivyo wananajisi nyumba zetu za ibada ndiomaana kila tuliombalo halifanikiwi

Askari: Unawezaje kupewa order ya shoot to kill halafu kama roboti una shoot kweli bila hata kuhoji halafu na nyumba za ibada unaenda kufanya nini?

Mwanasiasa :Unawezaje kutoa amri ya shoot to kill eti kwasababu tu unakosolewa na kupewa maoni mbadala halafu nyumba za ibada unaenda kufanya nini?
 
Yale hayakuwa maandamano bali ni magenge ya uwizi, uharibifu na fujo
Maandamano duniani kote siyo sawa na jogging. Hata wakenya walichoma bunge lao.

Bangladesh waliharibu miundombinu kama mageti na swimming pools za ikulu na Kisha wakaingia ndani .

Na bado tunarudi tena 9/12.
 
Shoot to kill ndicho kilichotokea

Baada ya hii episode kuisha what next? Wamefaidika na nini? Nafsi zao zimeridhika sasa? Wanagonga glass za mvinyo au wamefanya sherehe kabisa??

Zamani nikiwa mdogo niliamini kabisa kwamba polisi na mwanajeshi huwa hawaendi nyumba za ibada kusali, niliamini ukishachagua kazi hiyo wewe umeshajiunga na shetani kikamilifu. Nilishangaa siku moja niko kanisani namuona mwanajeshi na magwanda yake, aisee sikuamini macho yangu!!

Kumbe akili zangu za utoto zilikuwa sahihi baana!! Haya yanayotokea yamenifanya niamini akili zangu za utotoni na sasa naliongeza kundi lingine kwenye orodha hiyo, kundi la wanasiasa! Hawa hawatakiwi kukanyaga nyumba za ibada kwani miguu yao inanuka damu na hawako tayari kutubu hivyo wananajisi nyumba zetu za ibada ndiomaana kila tuliombalo halifanikiwi

Askari: Unawezaje kupewa order ya shoot to kill halafu kama roboti una shoot kweli bila hata kuhoji halafu na nyumba za ibada unaenda kufanya nini?

Mwanasiasa :Unawezaje kutoa amri ya shoot to kill eti kwasababu tu unakosolewa na kupewa maoni mbadala halafu nyumba za ibada unaenda kufanya nini?
Waliochoma mali za umma na binafsi wamefaidika nini?
 
britanicca huwa upo mbele sana ya muda sema humu jukwaani kuna chawa pro huwa wanakubeza sana lakini sisi tutaanza kuzingatia kila nukta ya neno utakalo sema hakika tungesoma bandiki hili na kulielewa ndugu zetu wasingeuliwa kizembe.
Swali la nyongeza kwako britanicca kwa lugha rahisi ni kwamba wale wauaji ni polisi wetu hawa hawa au ni raia wa kigeni??
👆🏽
 
Back
Top Bottom