BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Tayari ninayo dogo labda ujifiche huku mbozi tutakusaka tule hicho kichwa cha juu!Andaaa miguu ya bandia.
Tayari ninayo dogo labda ujifiche huku mbozi tutakusaka tule hicho kichwa cha juu!Andaaa miguu ya bandia.
Pamoja na taarifa kuwa ya kuhuzunisha, ila nafurahi sana sana kuona mkuu britanicca kwamba upo pamoja nasiHuu ujinga sana wanaoleta sasa
Hawana sare
Hawana magari maalumu wana landruiser kadhaa ambazo hazina plate number wanatembea na plate Nunber mbali mbali na spana wana funga wanapotaka kukamata mtu!
Wana pesa bajet maalumu wamepewa na kitengo cha upelelezi
Nchi imeoza badala wakamate wanaoibia nchi wanakamata wanaokosoa utendaji
Mbaya zaidi kuna maelekezo ya shoot to kill jambo ambalo hawataweza kufanikiwa Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo
Wanawekwa kwenye target wachungaji na watu wenye ushawishi kwenye jamii
Britanicca
AiseeHuu ujinga sana wanaoleta sasa

Nimerudia kusoma zaidi ya mara tisa ,hasa hapo kwenye WATU WENU 👺👺Mkuu Burita, britanicca , kama ni kweli maandamano ya tarehe 29 October sio ya siku moja, basi nawashauri yaanzeni tarehe 30 October na kuendelea, tarehe 29 October tuna jambo letu, liacheni lipite salama, watu wakatiki, kisha kuanzia kesho yake, nyie andamaneni na ulinzi tutawapa.
Ni ushauri tuu ili msiumize bure watu wenu!.
P
Tanzania ya sasa ina watu wa aina mbili, kuna watu wetu na watu wenu.Nimerudia kusoma zaidi ya mara tisa ,hasa hapo kwenye WATU WENU 👺👺
SureSo sad
So s
Wakikufata unaenda kituo cha kupigia kura unasimama simama unaondoka tena
😭Tanzania ya sasa ina watu wa aina mbili, kuna watu wetu na watu wenu.
Watu wetu ni Watanzania wanaukubali ukweli wa mambo. Watu wenu ni Watanzania wanaoishi kwenye ndoto za utopian.
P
YesKwenye ILI MKUU UMESEMA KWELI.
Nimeshuhudia Kwa macho yangu
Mayala umeanza kuharibu kitambo kumbeMkuu Burita, britanicca , kama ni kweli maandamano ya tarehe 29 October sio ya siku moja, basi nawashauri yaanzeni tarehe 30 October na kuendelea, tarehe 29 October tuna jambo letu, liacheni lipite salama, watu wakatiki, kisha kuanzia kesho yake, nyie andamaneni na ulinzi tutawapa.
Ni ushauri tuu ili msiumize bure watu wenu!.
P
Funguka kidogo....... siku tatu kuanzia leo tujiandae kusikia taarifa zitakazoinua shangwe kwa Taifa ,masikini CCM wameponzwa na kiburi dah!
Mkuu issue ikiwa ishaenda viral sana hupunguza vibeFunguka kidogo.
Na muda sio mrefu ukaangushwa.Utawala wa Iddi Amini ulikuwaga hivi🥲