britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Utajikuta mpo watatu barabarani halafu hamjuani nani ni naniUkitaka kuandamana usimpe taarifa yeyote
Wewe ikifika tar 29 vaa mabuti ongoza njia.
Wakikufata unaenda kituo cha kupigia kura unasimama simama unaondoka tenaUkitaka kuandamana usimpe taarifa yeyote
Wewe ikifika tar 29 vaa mabuti ongoza njia.
Mkuu Burita, britanicca , kama ni kweli maandamano ya tarehe 29 October sio ya siku moja, basi nawashauri yaanzeni tarehe 30 October na kuendelea, tarehe 29 October tuna jambo letu, liacheni lipite salama, watu wakatiki, kisha kuanzia kesho yake, nyie andamaneni na ulinzi tutawapa.Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo
Britanicca
Wakatiki wapi ? Acha kujitoa akili ! Anashindana na nani ? Mbona mnakuwa hivi aiseeMkuu Burita, britanicca , kama ni kweli maandamano ya tarehe 29 October sio ya siku moja, basi nawashauri yaanzeni tarehe 30 October na kuendelea, tarehe 29 October tuna jambo letu, lichen limited salama, watu wakatiki, kisha andamaneni.
Ni ushauri tuu ili msiumize bure watu wenu!.
P