GE2025 Kikosi cha Askari 320 wasio na sare wamesambazwa nchi nzima kukamata wanaopinga serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama ushauri huu ungefuatwa, kilichotokea October 29, kisingetokea
P
 
Miaka yote licha ya chaguzi za maigizo tulizoea tukiona picha na video za watu katika msururu wakienda kupiga kura.

Unaweza kuweka picha au video za 2025 walau 3 tu za watu wakijazana kwenda kutiki zile 98% ukiondoa picha za eneo alilokuwepo Samia na Nchimbi ambapo 99% walijaa wanausalama kustage PR stunt.

Ziwe za vituo vya mitaani tu kwa watu baki.
Kama ushauri huu ungefuatwa, kilichotokea October 29, kisingetokea
P
 
Huu ujinga sana wanaoleta sasa

Mbaya zaidi kuna maelekezo ya shoot to kill jambo ambalo hawataweza kufanikiwa Kwakuwa maandamano ya tarehe 29 si ya siku moja Bali ni ya siku kadhaa mfululizo

Britanicca
Ni nani aliyetoa hiyo Amri ya shoot to kill?, hapa ulisema hawatafanikiwa!, imekuweje mbona wamefanikiwa?
P.
 
Wewe ni muongo! Sio kweli kwamba wamesambazwa 320. Ninachojuwa wamesambazwa 3,200,000 na magari Land cruiser 1,000,000 ili kuhakikisha Watanzania wanasherehekea Saba Saba kwa amani na utulivi. Wajinga wajinga wajichanganye halafu tusikie wanalialia eti, "Serikali Imetumia Nguvu Kubwa Sana!" NYAMBAFU!!!
 
Wee **** Uzi wa mwaka jana huu
 
Waliochoma mali za umma na binafsi wamefaidika nini?
Ulitegemea kuwa na tume za mchongo? Au viongozi kuja na kauli za kutapa tapa kila siku? Maana walifikishiwa ujumbe kwamba wawe fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…