Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Brazil msinifanyie kama 2014
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli nawe ni mshabiki wa soka au umedandia treni kwa mbele.Neymar hana lolote akiona mechi ngumu hakuna uwezekano wa kushinda anazuga kuumia...Aliikimbia Ujerumani na Real Madrid ,wamuondoe tu hana msaada wowote kwa timu
Angemchukua tu kuna game ambayo angeweza kufit pia ingesaidia sana kuwa na depth of the squad.Cjui kwa nini kocha kafanya hivi labda kwa sababu sandro ni atacking . minded player
Ha ha ha! Bado una mawenge na 7 za Mjerumani. Haiwezi tokea mkuu walipata somo.Brazil msinifanyie kama 2014
Ha ha ha!danilo atakuwa anacheza cricket
kabisa hilo somo halitasahaulika daah!Ha ha ha! Bado una mawenge na 7 za Mjerumani. Haiwezi tokea mkuu walipata somo.
Wakikutana na Manazi watapunguza tu idadi ya magoli toka wiki hadi mkonoBrazil msinifanyie kama 2014
Gabriel JesusStrickers?
Alves ana matatizo gani?Beki wa kulia sijaona hata mmoja
[emoji23] [emoji23] [emoji125]Kwa timu hii straike yesu hawatoboa nusu
Aliumia mguu siku si nyingi akiwana PSGAlves ana matatizo gani?
Sawa broAliumia mguu siku si nyingi akiwana PSG
Mwaka 2010 miezi kama hii wakati Brazil wanajiandaa kwenda kushiriki WC kule bondeni kwa madiba aliyekuwa striker wao tegemezi wa wakati huo Luis Fabiano aliliongelea kuhusu hili.!
!
Zamani Kikosi Kilikuwa Kinajaa Watu Wa Luigi Yao. Naona Siku Hizi Wamejaa Wachezaji Wa Ulaya Tu, Wa Ligi Ya Kwao Mmoja Tu.
Sio kuchukua ubingwa, Bali hata robo fainali hafikiBrazil hachukui kombe
Ondoa sweden weka germanNusu fainali watafika
Brazil
Spain
Sweden na
Croatia
true.!Sio kuchukua ubingwa, Bali hata robo fainali hafiki