Kikosi cha Ibenge alichofungwa Mauritania jana ni kilekile alichoshinda Mechi ya awali Tanzania?

Wewe ile Fainali uliyokuwa Ukijivunia nayo na mpaka kwenda Bungeni mwaka Jana ilikuwa ni ya Kombe lipi? Ukiambiwa huna Akili utakasirika.
Huko Singida black stars wangeshafuzu siku nyingi sana πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜€
 
Ni furaha ya kinafiki tu mkuu. Huwezi kuwa neutral kwenye utani wa jadi. Kama wewe ni shabiki wa Yanga huwezi ifurahia Simba and vice versa is true.
Umemaliza kila Kitu Mkuu. Asante sana huyo Jamaa sema tu hujamfuatilia ni Mnafiki hakuna Mfano.

GENTAMYCINE hata iweje siwezi Kuishangilia Yanga SC au Kuiombea Mema tena Ninaichukia hata Malaika wa Mbinguni wanajua.
 
Reactions: Tsh
Wewe ile Fainali uliyokuwa Ukijivunia nayo na mpaka kwenda Bungeni mwaka Jana ilikuwa ni ya Kombe lipi? Ukiambiwa huna Akili utakasirika.
Fainali ilikuwa ni ya kikombe icho icho lakini wenzako walivaa medali ya mshindi wa pili vipi wewe safari hii utaivaa? Alafu yule aliyekuwa katibu wenu kaduguda alisema ni kikombe cha wanawake akuwa na akiba ya maneno Leo hii mpo uko mnachuana na wakina sfaxien🀣🀣
 
Maneno Hayo Yangesikika Pia Na Gemu Ya Kwanza Waliposhinda Al-Hilal Ingekuwa Vyema,,,Kwa Kuwa Yanga Nao Walihongwa
 
Na kadi mliyompa ya uanachama vipi?
 
CALCULETA FC Unazingua watu tupo busy..au mahesabau hayakaa sawa bado
 
We kisubirie kikosi chako kigongwe mara ya tano mfululizo, huku kwa wanaume haupo tuachieni wanaume.
 
Kwani mechi si Huwa zinachezwa ndani na Nje au? Mbona unajisahulisha kama mbuzi?

Ibenge amefuzu,aanze kuweka first 1@ yake Ili agundue nini wakati knockout inamsubiria? Akiumiza wachezaji Je?

Yaani bwana popoma unasema kwamba Ibenge alivuta mkwanja harafu akammegea na golikipa au? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wamecheza na Kibonde πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…