Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Usije tu ukaikana hii kauli yako..!! Itunze hiiMimi nakuambia Yanga haingii robo hata kwa manati
Yanga akihangaika kuingia robo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usije tu ukaikana hii kauli yako..!! Itunze hiiMimi nakuambia Yanga haingii robo hata kwa manati
Yanga akihangaika kuingia robo
Wewe ile Fainali uliyokuwa Ukijivunia nayo na mpaka kwenda Bungeni mwaka Jana ilikuwa ni ya Kombe lipi? Ukiambiwa huna Akili utakasirika.Unajisifu umefuzu shirikisho 😂😂😂
Huko Singida black stars wangeshafuzu siku nyingi sana 😀😂😀Wewe ile Fainali uliyokuwa Ukijivunia nayo na mpaka kwenda Bungeni mwaka Jana ilikuwa ni ya Kombe lipi? Ukiambiwa huna Akili utakasirika.
Umemaliza kila Kitu Mkuu. Asante sana huyo Jamaa sema tu hujamfuatilia ni Mnafiki hakuna Mfano.Ni furaha ya kinafiki tu mkuu. Huwezi kuwa neutral kwenye utani wa jadi. Kama wewe ni shabiki wa Yanga huwezi ifurahia Simba and vice versa is true.
Fainali ilikuwa ni ya kikombe icho icho lakini wenzako walivaa medali ya mshindi wa pili vipi wewe safari hii utaivaa? Alafu yule aliyekuwa katibu wenu kaduguda alisema ni kikombe cha wanawake akuwa na akiba ya maneno Leo hii mpo uko mnachuana na wakina sfaxien🤣🤣Wewe ile Fainali uliyokuwa Ukijivunia nayo na mpaka kwenda Bungeni mwaka Jana ilikuwa ni ya Kombe lipi? Ukiambiwa huna Akili utakasirika.
Itunze wewe mimi naikumbuka ndio maana nikaandika hivyoUsije tu ukaikana hii kauli yako..!! Itunze hii
Hahaha, nimecheka sana hii sentensi.tena Ninaichukia hata Malaika wa Mbinguni wanajua.
Na kadi mliyompa ya uanachama vipi?Nadhani niliwatahadharisha mapema kuwa hakuna Watu Wanafiki na wepesi kufanya Biashara za Madili kama akina Bandeko Nangai (Wakongomani) na hatimaye mmekiona.
Pamoja na Uzito wangu wa sasa wa Kilo 83 nikiwa Golikipa siwezi Kufungwa Goli jepesi kama lile alilofungwa Kipa wa Timu ya Kocha Mnafiki Florent Ibenge, jana.
Hata hivyo ninachofurahi tu ni kwamba Mimi kwa 90% nimeshavuka Robo Fainali CAFCC sasa Shughuli wanayo Wao ili nani apite huko Kundini Kwao CAFCL ila ninachojua tu ni kwamba Moto utawaka.
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Mwambieni Kocha Ibenge kuwa huo Mgawo kutoka Kampuni ya Kitapeli Posta alioupata asisahau kumjengea hata Kakibanda tu Demu wake mwenye Jina linaoanzia na Herufi A wa Petrol Station moja Kubwa Mbagala.
Ndiyo maana kila mara Klabu ya Simba SC ikitaka Kumuajiri kama Kocha huwa Wanasita kwani huenda Uongozi wa Simba SC nao umeshajua kuwa Ibenge ni Mnafiki / Ndumilakuwili Tukuka.
al hilal ilikuwa full mzikiJana ibenge kaweka watoto under23
CALCULETA FC Unazingua watu tupo busy..au mahesabau hayakaa sawa badoMakolo wa Ibenge mnahaha sana kutafuta kuhalalisha kuwa Yanga imegawa mgao..!! Na haya mnayaropoka huku mkiwa mmepigwa mara nne mfululizo na Yanga. Sasa sijui na nyie mlinunuliwa mara zote nne au la..!!
1. Yanga ikifungwa;
Hawajui soka
timu haichezi kitimu
Kila mchezaji anajichezea ajuwavyo
Yanga ni mbovu jamani
2. Yanga ikishinda
Bahasha
tiGo pesa
Marefa wamehongwa
GSM anadhamini timu nyingi
wale ni tawi la Yanga
Hawa si wale wa zamani
Ibenge bahasha
Kudra za mwenyezi Mungu
etc..
Ulichokiandika ni muendelezo wa umbumbumbu, ungada, udunduka na umakolo wenu wa kila Yanga inaposhinda.
CC Kalpana, Mshana Jr, Muite BonventureSr, SAYVILLE, pesakilakitu, moudgulf, OKW BOBAN SUNZU, et el
Wewe ile Fainali uliyokuwa Ukijivunia nayo na mpaka kwenda Bungeni mwaka Jana ilikuwa ni ya Kombe lipi? Ukiambiwa huna Akili utakasirika.
Hongera mwanamke mstaafu...huko tulikuwepo miaka 4 mfululizoWe kisubirie kikosi chako kigongwe mara ya tano mfululizo, huku kwa wanaume haupo tuachieni wanaume.
Naona mnakubaliana na maneno ya Kaduguda.Hongera mwanamke mstaafu...huko tulikuwepo miaka 4 mfululizo
Kwani mechi si Huwa zinachezwa ndani na Nje au? Mbona unajisahulisha kama mbuzi?Nadhani niliwatahadharisha mapema kuwa hakuna Watu Wanafiki na wepesi kufanya Biashara za Madili kama akina Bandeko Nangai (Wakongomani) na hatimaye mmekiona.
Pamoja na Uzito wangu wa sasa wa Kilo 83 nikiwa Golikipa siwezi Kufungwa Goli jepesi kama lile alilofungwa Kipa wa Timu ya Kocha Mnafiki Florent Ibenge, jana.
Hata hivyo ninachofurahi tu ni kwamba Mimi kwa 90% nimeshavuka Robo Fainali CAFCC sasa Shughuli wanayo Wao ili nani apite huko Kundini Kwao CAFCL ila ninachojua tu ni kwamba Moto utawaka.
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Mwambieni Kocha Ibenge kuwa huo Mgawo kutoka Kampuni ya Kitapeli Posta alioupata asisahau kumjengea hata Kakibanda tu Demu wake mwenye Jina linaoanzia na Herufi A wa Petrol Station moja Kubwa Mbagala.
Ndiyo maana kila mara Klabu ya Simba SC ikitaka Kumuajiri kama Kocha huwa Wanasita kwani huenda Uongozi wa Simba SC nao umeshajua kuwa Ibenge ni Mnafiki / Ndumilakuwili Tukuka.
Na mechi ya mwisho ni ngumu kuliko hiyo ya IbengeUtopolo bado hajafuzu , tunakumbushana tu
Wamecheza na Kibonde 😆😆Makolo wa Ibenge mnahaha sana kutafuta kuhalalisha kuwa Yanga imegawa mgao..!! Na haya mnayaropoka huku mkiwa mmepigwa mara nne mfululizo na Yanga. Sasa sijui na nyie mlinunuliwa mara zote nne au la..!!
1. Yanga ikifungwa;
Hawajui soka
timu haichezi kitimu
Kila mchezaji anajichezea ajuwavyo
Yanga ni mbovu jamani
2. Yanga ikishinda
Bahasha
tiGo pesa
Marefa wamehongwa
GSM anadhamini timu nyingi
wale ni tawi la Yanga
Hawa si wale wa zamani
Ibenge bahasha
Kudra za mwenyezi Mungu
etc..
Ulichokiandika ni muendelezo wa umbumbumbu, ungada, udunduka na umakolo wenu wa kila Yanga inaposhinda.
CC Kalpana, Mshana Jr, Muite BonventureSr, SAYVILLE, pesakilakitu, moudgulf, OKW BOBAN SUNZU, et el
AkuuNaona mnaubaliana na maneno ya Kaduguda.
Nimeipenda hii misemo ya kikabila