Kikosi cha kike cha SWAT kinachoweza kupambana na ugaidi chazinduliwa Kenya. First in sub-saharan Africa.

Tanzania bado mna primitivity kuhusu wanawake. Bado mnawadharau wanawake, hamjui uwezo wao. Wacheni ushamba na taasubi za kiume. Dada hawa wanaeza kuwatandika akina redeemer mpaka wakajamba na kulia kama watoto
 
Naona manati nayo imethibitishwa
 
Tanzania bado mna primitivity kuhusu wanawake. Bado mnawadharau wanawake, hamjui uwezo wao. Wacheni ushamba na taasubi za kiume. Dada hawa wanaeza kuwatandika akina redeemer mpaka wakajamba na kulia kama watoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
shida kubwa ya wakenya ni tabia yenu ya kupenda sifa za kijinga.

nchi ambazo zipo makini katika mikakati ya kiusalama wa kijeshi huwa hawa expose kwa public uwepo wa vikosi kama hiki. refer to USA seal team 6, mpaka leo hakuna raia anayejua sura zao.
 
Tanzania bado mna primitivity kuhusu wanawake. Bado mnawadharau wanawake, hamjui uwezo wao. Wacheni ushamba na taasubi za kiume. Dada hawa wanaeza kuwatandika akina redeemer mpaka wakajamba na kulia kama watoto
Hawa watu wana fikra na dhana za karne iliyopita. Hizi comment zao zote za kilofa ni za kuwadhalalisha wanawake, na wanaona sifa. Nawaonea huruma sana wanawake wa Tz, siku za kuwawezesha wenzao huku Kenya ziliisha zamani. Wao wenyewe wanajiwezesha, sidhani kuna wanawake wenye confidence ukanda huu zaidi ya wanawake wa kikenya. Big up to the Kenyan women, popote walipo.
 
Wewe tu. Sio wanaume wa Tanzania. Tanzania ilishawai kuteka nchi yenye watu milioni 44 na kumwachia mtu wamtakaye Hadi sasa...
 
Kwahiyo waislam ni masofti sana hadi wanapelekewa wanawake wakapambane nao?
Uvivu, wa kusoma, ndio kasumba yenu kuu, na itawatafuna hadi siku ya kiama. Naona wengi wenu wanakimbilia kucomment kuhusu Somalia. Ila kwa mtu makini ambaye amesoma taarifa kwanza ataona kwamba waziri Matiang'i(*usalama wa ndani) amesema kwamba hii unit ya SWAT itakuwa inatumiwa wakati kuna 'security threat, au 'hostage situation'(k.m. lile tukio la Westgate). Hamjui SWAT ina maanisha nini wajameni? Alafu hawa ni AP, Polisi wa Utawala, wana biashara gani Somalia??? [emoji15] Kumbe hata na FaizaFoxy pia alienda shuleni kusomea ujinga?
 
TANZANIA Wana vikosi Kama hivyo tangu enzi za Mwalimu Nyerere. Ndio maana tuna Lt Gen na Maj Gen wengi wa kike na wengine wamastaafu jeshi
 
Kwa kusapotiana ujinga na nduguzo hamjambo
 
Wewe nani kakwambia nchi zingine huwa zinatangaza mpangilio wa vikosi vya kijeshi? We sema ni cha kwanza Kenya na siyo Afrika
 
TANZANIA Wana vikosi Kama hivyo tangu enzi za Mwalimu Nyerere. Ndio maana tuna Lt Gen na Maj Gen wengi wa kike na wengine wamastaafu jeshi
Nyie hamna kikosi maalum cha wanawake tupu wanaopigana vita kikomando. Kenya ndio nchi ya kwanza Africa kuwa na kikosi hicho.
 
Sawa ni nyie ndo mko nayo Africa nzima [emoji4][emoji4][emoji4] furahi sasa
Nyie hamna kikosi maalum cha wanawake tupu wanaopigana vita kikomando. Kenya ndio nchi ya kwanza Africa kuwa na kikosi hicho.
 
Nyie hamna kikosi maalum cha wanawake tupu wanaopigana vita kikomando. Kenya ndio nchi ya kwanza Africa kuwa na kikosi hicho.

Aaah! Wapi nyie sasa mna siri gani ikiwa tunajua hata vikosi vya Marekani ambayo uwezo wake ni mara milioni moja yenu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…