Kikosi cha kike cha SWAT kinachoweza kupambana na ugaidi chazinduliwa Kenya. First in sub-saharan Africa.

Hicho kikosi kizuri kweli hadi nimetamani niwe gaidi [emoji16][emoji16][emoji16] Maniner tukiwashika hao hakuna kuwachapa risasi ni mwendo wa kuwapiga mbu.pu tu usiku kucha, tena naskia videm vya kikenya vina papuchi tamu[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Unaongea like tushawahi kutana mahali [emoji23][emoji23][emoji23]
Katika watanzania kumi humkosi mmoja aliyepitia JKT, shauri yako

Hiyo JKT mnakokwenda kujifunza kutumia magobole, kuna siku niliona sehemu vijana waliopitia JKT wanaandamana kwa kukosa ajira, mjifunze na sisi ambao tunawapeleka vijana wetu NYS wakitoka huko wanajua kujitegemea sio kuanza kulia lia
 
Hivi Wakenya hamuwezi kuandika chochote bila kuitaja Tanzania. Hebu tafuteni uwezo wa kuwa na aridhi maana mtu moja ana nusu ya aridhi hamna hata mahali pa kulima.
Hebu wazeni mambo ya maendeleo acheni wivu wa kijinga jinga.
Nyambafuuuu
We umeona wapi mwanamke anunuliwe kitu chochote na mumewe akienda kuringisha kwa mashoga zake bila kumtaja mumewe alomnunulia??
Hawawezi kufanya chochote pasina kuwataja mabwana zao na usikute wakitutaja hadi makalio yanawawasha!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Mwingine pia huyu hafahamu JKT ni nini,
unavosema tujifunze kwenu hivi una akili kweli au ushalewa changaa [emoji23][emoji23][emoji23]
JKT wana mafunzo aina mbalimbali, ufundi aina mbalimbali,
Mfano JKT hutumika kwenye ujenzi wa majengo mbalimbali ya serikali
Hiyo JKT mnakokwenda kujifunza kutumia magobole, kuna siku niliona sehemu vijana waliopitia JKT wanaandamana kwa kukosa ajira, mjifunze na sisi ambao tunawapeleka vijana wetu NYS wakitoka huko wanajua kujitegemea sio kuanza kulia lia
 
Tanzania bado mna primitivity kuhusu wanawake. Bado mnawadharau wanawake, hamjui uwezo wao. Wacheni ushamba na taasubi za kiume. Dada hawa wanaeza kuwatandika akina redeemer mpaka wakajamba na kulia kama watoto
😅😅😅 Labda wanijambie kama yule mbunge aliefanya bunge liahirishwe ghafla, sijui mnafeli wapi kuitumia hiyo kama alternative approach kuwakabili shababi
 
Kuna mahali nilisoma wanawake wa Kenya wanaapply make up kudistinguish gender tu na sio kuongeza urembo, kwenye suala la ukakamavu hilo wala sina ubishi, wamekomaa wameiva 😅😅😅
 

Muwaandae vijana wenu kupambana kimaisha sio kukimbia kimbia wakiimba kule JKT huku wamebeba magobole.

Ona wanavyoishia kuteseka https://mtanzania.co.tz/vijana-waliopata-mafunzo-jkt-waandamana-2/
 
Huyo haelewi JKT ina vitengo vingi vya uzalishaji kuanzia uvuvi mkubwa mpaka umiliki wa viwanda vingi vya bidhaa za kawaida bila kusahau civil companies.
 
Najua ulisoma comment za huo uzi but ubishi na upumbavu by nature View attachment 1177943

Suala sio mkataba wa JKT wala nini, ni ile tu kwamba wanatoka huko hawajui kujitegemea wanaanza kulialia wakitaka ajira, maana hamna cha maana wamefundishwa zaidi ya kubeba magobole.

Vijana wetu hawafundishwi kubeba magobole, wanapata mafunzo haswa ya kujitegemea kimaisha


 
If you are law abiding citizen then you have nothing to fear, dear.
 
Hivi Wakenya hamuwezi kuandika chochote bila kuitaja Tanzania. Hebu tafuteni uwezo wa kuwa na aridhi maana mtu moja ana nusu ya aridhi hamna hata mahali pa kulima.
Hebu wazeni mambo ya maendeleo acheni wivu wa kijinga jinga.
Nyambafuuuu
Wacha niongeze kiasi. Hawa wanadada wanaweza waondoa presidential Guard wa Magufuli kwa dakika mbii na kumleta Magu Hadi ikulu ya Nakuru ateremshe kikombe Cha chai na arejeshwe Dar na Wanadada Hawa warudi Kenya pole pole bila kuulizwa na yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…