Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
WatawatomberjerNgoja Alshabab waje wawafanyie ambush...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WatawatomberjerNgoja Alshabab waje wawafanyie ambush...
Unaongea like tushawahi kutana mahali [emoji23][emoji23][emoji23]
Katika watanzania kumi humkosi mmoja aliyepitia JKT, shauri yako
We umeona wapi mwanamke anunuliwe kitu chochote na mumewe akienda kuringisha kwa mashoga zake bila kumtaja mumewe alomnunulia??Hivi Wakenya hamuwezi kuandika chochote bila kuitaja Tanzania. Hebu tafuteni uwezo wa kuwa na aridhi maana mtu moja ana nusu ya aridhi hamna hata mahali pa kulima.
Hebu wazeni mambo ya maendeleo acheni wivu wa kijinga jinga.
Nyambafuuuu
Hiyo JKT mnakokwenda kujifunza kutumia magobole, kuna siku niliona sehemu vijana waliopitia JKT wanaandamana kwa kukosa ajira, mjifunze na sisi ambao tunawapeleka vijana wetu NYS wakitoka huko wanajua kujitegemea sio kuanza kulia lia
😅😅😅 Labda wanijambie kama yule mbunge aliefanya bunge liahirishwe ghafla, sijui mnafeli wapi kuitumia hiyo kama alternative approach kuwakabili shababiTanzania bado mna primitivity kuhusu wanawake. Bado mnawadharau wanawake, hamjui uwezo wao. Wacheni ushamba na taasubi za kiume. Dada hawa wanaeza kuwatandika akina redeemer mpaka wakajamba na kulia kama watoto
Kuna mahali nilisoma wanawake wa Kenya wanaapply make up kudistinguish gender tu na sio kuongeza urembo, kwenye suala la ukakamavu hilo wala sina ubishi, wamekomaa wameiva 😅😅😅Hawa watu wana fikra na dhana za karne iliyopita. Hizi comment zao zote za kilofa ni za kuwadhalalisha wanawake, na wanaona sifa. Nawaonea huruma sana wanawake wa Tz, siku za kuwawezesha wenzao huku Kenya ziliisha zamani. Wao wenyewe wanajiwezesha, sidhani kuna wanawake wenye confidence ukanda huu zaidi ya wanawake wa kikenya. Big up to the Kenyan women, popote walipo.
Mwingine pia huyu hafahamu JKT ni nini,
unavosema tujifunze kwenu hivi una akili kweli au ushalewa changaa [emoji23][emoji23][emoji23]
JKT wana mafunzo aina mbalimbali, ufundi aina mbalimbali,
Mfano JKT hutumika kwenye ujenzi wa majengo mbalimbali ya serikali
Huyo haelewi JKT ina vitengo vingi vya uzalishaji kuanzia uvuvi mkubwa mpaka umiliki wa viwanda vingi vya bidhaa za kawaida bila kusahau civil companies.Mwingine pia huyu hafahamu JKT ni nini,
unavosema tujifunze kwenu hivi una akili kweli au ushalewa changaa [emoji23][emoji23][emoji23]
JKT wana mafunzo aina mbalimbali, ufundi aina mbalimbali,
Mfano JKT hutumika kwenye ujenzi wa majengo mbalimbali ya serikali
Muwaandae vijana wenu kupambana kimaisha sio kukimbia kimbia wakiimba kule JKT huku wamebeba magobole.
Ona wanavyoishia kuteseka https://mtanzania.co.tz/vijana-waliopata-mafunzo-jkt-waandamana-2/
Huyo haelewi JKT ina vitengo vingi vya uzalishaji kuanzia uvuvi mkubwa mpaka umiliki wa viwanda vingi vya bidhaa za kawaida bila kusahau civil companies.
Na hili suala la vitega uchumi ni kwa majeshi yote Tanzania kwa hiyo vijana wetu kutoka national service wana chances kubwa sana za kuajiriwa.Kama kina SUMA JKT
Na hili suala la vitega uchumi ni kwa majeshi yote Tanzania kwa hiyo vijana wetu kutoka national service wana chances kubwa sana za kuajiriwa.
Hii hapa sio ya kitambo..Kama kawaida yako kuokota past news,
Hii hapa sio ya kitambo..
Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira
Sasa tusikilizie matukio ya ujambazi kuogezeka maradufu..... Kumaliza mkataba na kurudi nyumbani hakujaanza leowww.jamiiforums.com
Najua ulisoma comment za huo uzi but ubishi na upumbavu by nature View attachment 1177943
If you are law abiding citizen then you have nothing to fear, dear.Thanks for the correction. I have actually confirmed that the weapon of choice for Recce and RDU is the M16 rifle.The service weapon of RECCE is the high-performance 5.56mm caliber M16 assault rifle which is the United States military select-fire adaptation of the AR-15 rifle family. The rifle has been termed as among the best assault rifles used by most special forces and military across the globe . Though i still fear that our police are becoming more of warriors than guardians. I remember the police who used a baton when i was young now the baton is either and AK47 rifle, or pistols. They walk out looking like this it will instill fear in the population
View attachment 1177504
even kenya wildlife services is now militarized. They are now being trained by British military.
View attachment 1177509
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kikosi kiwe swat kama wanajeshi ni wanaume, ila wanajeshi kama ni wanawake hicho ni sweet
Kikosi kiwe swat kama wanajeshi ni wanaume, ila wanajeshi kama ni wanawake hicho ni sweet
Wacha niongeze kiasi. Hawa wanadada wanaweza waondoa presidential Guard wa Magufuli kwa dakika mbii na kumleta Magu Hadi ikulu ya Nakuru ateremshe kikombe Cha chai na arejeshwe Dar na Wanadada Hawa warudi Kenya pole pole bila kuulizwa na yeyote.Hivi Wakenya hamuwezi kuandika chochote bila kuitaja Tanzania. Hebu tafuteni uwezo wa kuwa na aridhi maana mtu moja ana nusu ya aridhi hamna hata mahali pa kulima.
Hebu wazeni mambo ya maendeleo acheni wivu wa kijinga jinga.
Nyambafuuuu