F fikirikwanza JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 7,452 Reaction score 3,071 Jul 16, 2019 #41 maskini hata kunywa maji anafikiria pesa zitapotea, damn it ibanezafrica said: Wanapoteza pesa bure ligi yenyewe Ya kujiandaa hivyo ipo wapi? Bagamoyo au Moro pangetosha sana Click to expand...
maskini hata kunywa maji anafikiria pesa zitapotea, damn it ibanezafrica said: Wanapoteza pesa bure ligi yenyewe Ya kujiandaa hivyo ipo wapi? Bagamoyo au Moro pangetosha sana Click to expand...
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 Jul 16, 2019 Thread starter #42 [emoji23][emoji23][emoji23] Hatari sana hiyo fikirikwanza said: maskini hata kunywa maji anafikiria pesa zitapotea, damn it Click to expand...
[emoji23][emoji23][emoji23] Hatari sana hiyo fikirikwanza said: maskini hata kunywa maji anafikiria pesa zitapotea, damn it Click to expand...
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,884 Jul 17, 2019 #43 Mozu1991 said: Afu utaona mtu kafurahi eti wameshinda 10 - 1 , hapo unajipima nini Click to expand... Wanajipima nguo mkuu
Mozu1991 said: Afu utaona mtu kafurahi eti wameshinda 10 - 1 , hapo unajipima nini Click to expand... Wanajipima nguo mkuu
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,884 Jul 17, 2019 #44 ibanezafrica said: Ninavyojua mimi samba maandalizi yake makubwa ni ili aje aishinde yanga tu hata na hao wenzao pia hivyo hivyo Click to expand... Utakalia hayo tu... simba inapaisha nchi kimataifa hilo hata wewe ni shahidi
ibanezafrica said: Ninavyojua mimi samba maandalizi yake makubwa ni ili aje aishinde yanga tu hata na hao wenzao pia hivyo hivyo Click to expand... Utakalia hayo tu... simba inapaisha nchi kimataifa hilo hata wewe ni shahidi
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,884 Jul 17, 2019 #45 ibanezafrica said: Ligi Ya mabingwa mtaiweza? Hiyo sportpesa tu kila mwaka mnakimbia Click to expand... Sportpesa wanaochukua ni timu za kenya... Je kenya kuna timu yenye rank sawa na Yanga au Simba kimataifa? Sportpesa sio kipimo
ibanezafrica said: Ligi Ya mabingwa mtaiweza? Hiyo sportpesa tu kila mwaka mnakimbia Click to expand... Sportpesa wanaochukua ni timu za kenya... Je kenya kuna timu yenye rank sawa na Yanga au Simba kimataifa? Sportpesa sio kipimo
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,884 Jul 17, 2019 #46 ibanezafrica said: Halafu ligi ikianza mnafuungwa na vitimu vya mikoani Click to expand... Tyson au Maywether anapigwa ngumi nyingi tu... ila muhimu kwake awin game basi. Kikubwa malengo yatimie, unafungwa na kagera halafu unabeba ndoo nini tatizo?
ibanezafrica said: Halafu ligi ikianza mnafuungwa na vitimu vya mikoani Click to expand... Tyson au Maywether anapigwa ngumi nyingi tu... ila muhimu kwake awin game basi. Kikubwa malengo yatimie, unafungwa na kagera halafu unabeba ndoo nini tatizo?