Kikosi cha Taifa Stars kuelekea AFCON 2024

Kikosi cha Taifa Stars kuelekea AFCON 2024

Wanamchukua mzee Zimbwe Jr, halafu wanaacha watu wa maana damu changa kama Kibabage na Israel mwenda
Africon sio uwanja wa majaribio ,unaweza kujaribu kwenye kufuzu maana una mechi mpaka tisa na wakati mwingine kumi ,AFRICON una mechi mbili za muhimu ukikandwa out ,unataka umuweke mwenda na kibabage wakafanye nini
 
Msomali na genge lake la wahuni kwenye uongozi wa soka
 
Mkipa wa nne wanini? Unamchukua Metacha unamuacha Mshery what is our succession plan kwenye timu taifa. Kibabage, Kevin John, Mwenda, Mshery n.k
 
Tisiende tu,tujipange. Hivi wabongo hawapigagi Mimba Brazil & Algentina tuwe tunaokilewa nahaoo.......
 
Majina ya wachezaji waliotwa kwenye kikosi cha Yaifa Stars kinachoenda AFCON 2024 .

1. Aishi Manula
2. Kawawa
3. Beno Kakolanya
4. Bakari Mwamnyeto
5. Mohammed Hussein
6. Sospeter Bajana
7. Simon Msuva
8. Feisal Salum
9. Danilo
10. Lusajo Mwaikenda
11. Kibu Denis
12. Samatta Mbwana
13. Novatus Dismas
14. Himid Mao
15. Abdul Sopu
16. Abdi Banda
17. Twariq Yusuf
18. Haji Mnoga
19. Charles Kachwele
20. Metacha Mnata
21. Ben Starkie
22. Mudathir Yahaya
23. Ibrahim Bacca
24. Dickson Job
25. Charles M’mombwa
26. Abdul Malik
27. Tarryn Allarakhia
28. Khelfin Hamdon
29. Mzamiru Yasini
30. Morice Abraham

Bila Adamu Matunga kuitwa Taifa Stars, bas siishabikii Afcon
 
Back
Top Bottom