Hapo wachezaji wapo 30, nafikiri watachujwa wabaki 23Magolikipa wanne?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo wachezaji wapo 30, nafikiri watachujwa wabaki 23Magolikipa wanne?
Africon sio uwanja wa majaribio ,unaweza kujaribu kwenye kufuzu maana una mechi mpaka tisa na wakati mwingine kumi ,AFRICON una mechi mbili za muhimu ukikandwa out ,unataka umuweke mwenda na kibabage wakafanye niniWanamchukua mzee Zimbwe Jr, halafu wanaacha watu wa maana damu changa kama Kibabage na Israel mwenda
Wanamuita wa nini sasa? Wanaenda kutupa aibu tuLabda anaitwa Ili ajitafute...
Maana huko aliko si mchezaji wa kutegemewa...
Kuna making wa ligi kuu wapo vizuri sana kama mbissa na yule wa kmc kuliko huyu metachaWamemwita mnata wa nini?
Kibabage na Mzize watu sana.Wanamchukua mzee Zimbwe Jr, halafu wanaacha watu wa maana damu changa kama Kibabage na Israel mwenda
UnashangaaMagolikipa wanne?
God Bless Israel
Majina ya wachezaji waliotwa kwenye kikosi cha Yaifa Stars kinachoenda AFCON 2024 .
1. Aishi Manula
2. Kawawa
3. Beno Kakolanya
4. Bakari Mwamnyeto
5. Mohammed Hussein
6. Sospeter Bajana
7. Simon Msuva
8. Feisal Salum
9. Danilo
10. Lusajo Mwaikenda
11. Kibu Denis
12. Samatta Mbwana
13. Novatus Dismas
14. Himid Mao
15. Abdul Sopu
16. Abdi Banda
17. Twariq Yusuf
18. Haji Mnoga
19. Charles Kachwele
20. Metacha Mnata
21. Ben Starkie
22. Mudathir Yahaya
23. Ibrahim Bacca
24. Dickson Job
25. Charles M’mombwa
26. Abdul Malik
27. Tarryn Allarakhia
28. Khelfin Hamdon
29. Mzamiru Yasini
30. Morice Abraham
pelegrino?? TTF VICHAA??
Msomali na genge lake la wahuni kwenye uongozi wa soka