Kikosi cha Taifa Stars kuelekea AFCON 2024

Unamponda kisa ni wa yanga ila kuna mtu kaulizia mzize na kibabage umeponda
Kasome vizuri umenifananisha ni mimi ndio nimeuliza kuhusu kibabage na mzize kasome tena au avatar kufunikwa zimekuchanganya?
 
Bwana wee eti kachukuliwa mchezaji ambaye ata kucheza hachezi....kwanza mbona wapo 30 sio kwamba wanatakiwa 25 tuu?
Wanatakiwa 27 halafu kibabage yupo kwenye form alitakiwa awepo
 
Kikosi cha mchongo. Wapi Mwanuke na Kapombe?
 
Hawapo serious kwenye kuchagua kikosi...hii timu ukiishabikia utakua unajitafutia kansa ya moyo
 
Hivi mmeangalia timu wanazocheza hawa wachezaji wetu huko Ulaya?
 
Huyo dogo Ben Starkie ni mchezaji wa kawaida sana. Sijajua ni kwa nini mnambeba kila siku.
Labda kwakuwa anaishi England .
Yeye na Haji mnoga ni amature league ya England yani wapo chini ya daraja la nne .
Kocha hamna kitu hapo .
Kibabage ameachwa na left back yake Ana perform kuliko Novatus na Hussein .
Lakini ni advantage kwa yanga asije kuumia akakosa mechi muhimu .
Amahl Pelegríno anaongoza ligi daraja la kwanza Norway kufunga magoli ameachwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…