Kikosi cha Timu ya Taifa kufuzu AFCON Chatangazwa

Kikosi cha Timu ya Taifa kufuzu AFCON Chatangazwa

tukitambua wale wazuri sana halafu hawana rekodi za kuchezea timu za taifa huko watokako, tuwape uraia chap kwa haraka.
Sheria ya fifa inasema wawe wamekaa kwenye nchi husika zaidi ya miaka 5 baada ya kutimiza miaka 18.
Na hicho kipengele kilikuja baada ya Togo kuleta uhuni na kuwapa wabrazil uraia wakati hawana connection yoyote na togo. Wachezaji hao walikuwa Alessandro Faria, hamilton, Christiano Parreira na Jefferson de Souza. Wachezaji hao waliitwa togo na kupewa uraia kwa ushawishi mkubwa wa kocha wa timu hiyo kutoka Brazil, Antonio Dumas
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Kwa mfano Kamungo siyo raia wa Tanzania kwa sasa hivi. Alizaliwa kambi ya wakimbizi Nyarugusu halafu akapewa makazi ya Kudumu Marekani akiwa na miaka kumi na nne. Sasa hivi yeye ni mmarekani siyo Mtanzania wala Mrundi tena.

View attachment 2658664

View attachment 2658666

Hata hivyo ndiyo maana kuna haja ya kuruhusu uraia pacha.
Sisi Hilo hatulijui,tunachojua ni MTANZANIA KAZALIWA KIGOMA...ANATUMIA MGUU WA KUSHOTO KAMA SALAH...NA ATACHEZA VS NIGER...HAYO MENGINE HATUYAJUI
 
Suala la kuchezea timu ya taifa ipo hivi,unaweza bila shaka ukachezea timu ya taifa X wakati huohuo una utaifa wa taifa Y,kwa mfano pierre Aubameyang ni raia wa ufaransa lakini anaichezea Gabon achana na suala la utaifa pacha yeye prior nationality yake ni mfaransa kwa mambo mengine yote ukiachana na Football

Sheria za Fifa zinataka pia usicheze mechi za mashindano zaidi ya mbili za kimataifa kabla ya kuswitch to another national mfano Diego costa alichezea Brazil mechi mbili kabla ya kuhamia Spain..

Kwa hapa Tz miez michache iliyopita TFF walitoa waraka na special permission kwa ushirikiano na uhamiaji kwamba wale players Diaspora wote wanaotaka kuwakilisha Tz wanaruhusiwa kutuma taarifa zao watapewa kibali maalumu cha kuwakilisha Tz hata kama wana uraia wa nchi nyingine bila kuukana(FIFA inalikubali hili suala) hata kibu Dennis aliiwakilisha Tanzania akiwa na utaifa wa Burundi kama utakumbuka kabla ya kupewa uraia na kamishna wa uhamiaji kwa infuence ya simba sc..
Safi SANA MUNGU awabariki TFF NA uhamiaji
 
Back
Top Bottom