Kikosi cha Timu ya Taifa kufuzu AFCON Chatangazwa

tukitambua wale wazuri sana halafu hawana rekodi za kuchezea timu za taifa huko watokako, tuwape uraia chap kwa haraka.
Sheria ya fifa inasema wawe wamekaa kwenye nchi husika zaidi ya miaka 5 baada ya kutimiza miaka 18.
Na hicho kipengele kilikuja baada ya Togo kuleta uhuni na kuwapa wabrazil uraia wakati hawana connection yoyote na togo. Wachezaji hao walikuwa Alessandro Faria, hamilton, Christiano Parreira na Jefferson de Souza. Wachezaji hao waliitwa togo na kupewa uraia kwa ushawishi mkubwa wa kocha wa timu hiyo kutoka Brazil, Antonio Dumas
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Fundi mmoja Tu hapo, mafundi wengine hajaitwa
 
Sisi Hilo hatulijui,tunachojua ni MTANZANIA KAZALIWA KIGOMA...ANATUMIA MGUU WA KUSHOTO KAMA SALAH...NA ATACHEZA VS NIGER...HAYO MENGINE HATUYAJUI
 
Safi SANA MUNGU awabariki TFF NA uhamiaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…