Kikosi cha wachezaji 26 cha Uingereza ( England ) Chini ya Thomas Tuchel kuelekea kombe la Dunia 2026 ( USA , Mexico , Canada )

Kikosi cha wachezaji 26 cha Uingereza ( England ) Chini ya Thomas Tuchel kuelekea kombe la Dunia 2026 ( USA , Mexico , Canada )

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
196
Reaction score
254
Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia

Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa soka ulimwenguni ( mashabiki ) kukosekana kwa Wharton toka Cyrstal Palace , Levi Colwill toka chelsea , Trent Alexander - Arnold toka Real madrid kumezua maswali mengi

Huu hapa ni mtazamo wangu kukosekana kwa hao wachezaji na ubora wao

Tatizo kubwa kwenye kikosi hiki cha England ni ubora wa pasi. Cole Palmer (theluthi ya mwisho), Adam Wharton (theluthi ya kati), Levi Colwill (theluthi ya kujilinda), Trent Alexander-Arnold (theluthi ya kujilinda na ya mwisho), Lewis Hall (mtoa krosi) wote ni wapigaji pasi bora kwa njia zao tofauti. Huwezi kuwa na wachezaji wa kubeba mpira tu. Unahitaji wapigaji pasi wa kiwango cha juu ili kushinda mashindano.
IMG_7205.jpeg
IMG_7205.jpeg
 
Fonden 😥 caily woker mtu mzima dawa magwaya 😥 ila labdwa kunamaajabu yatatokea
 
Back
Top Bottom